Watanzania tumpigie kura Miss Diana Lukumai

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,796
Tumpigie miss Tanzania aweze kushinda Miss World.
Tanzania kuna watumiaji wengi wa mitandao hivyo tuitumie hii fursa kumsapoti mrimbwende wetu 2016 ili awe katika nafasi nzuri.


Ingia hapa kujua namna ya kupiga kura
 
Toa na maelekezo jinsi ya kupiga kura Mkuu.

Au tunapigia kura humu JF?
 
Yes maelezo ni muhimu tunapiga vipi? Voda, Tigo, Airtel and in website
 
Naweka Link inagoma ila kwenye page yake IG dianaflave ameelezea.
 
Weka hapo link tumpigie kura
Wakisha shinda waje wajaze vichwa vya habari vya shigongo na maskendo yao.
 
Atashinda kama ana vigezo vya kushinda,sio kwa kura tutakazompigia.
 
Kama tuliweza kumpa Kiba tuzo mbele ya Wizkid, hii haitakuwa kazi kubwa! Team Diana wapi!
 
Miss Worlɗ sio ƊEatv awards..
 
Tunaweza kupigakwa wingi asipate kumbe hana vigezo na hakuzingatia maharti, tulimpigia mkuu kura nyingi tuzo ikaenda south, sina imani tena na kura,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…