Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

Akaombe waarabu wa dubai wamuombee
Watanzania tumeamua kumbeba katika mikono yetu Dr Tulia mtoto wetu,Dada yetu,spika wetu na mtanzania mwenzetu mwenye moyo wa upendo na huruma.mchapa kazi na muadilifu,
 
Atapita tu kwa uweza wa MWENYEZI MUNGU.wenye chuki binafsi mtaendelea kuumia Sana mioyo yenu.Mungu akikuinua au kutaka kukuinua hakuna mwanadamu awezaye kuzuia mipango ya MUNGU
Acha kumshirikisha Mungu kwenye Mambo machafu. Laiti ungejua alichowafanyia wagombea wenzake, ungenyamaza na kuacha kumpigia upatu wa maombi!
 
Hivi ile kampeni ya kupinga uteuzi... Firm za kupinga huyu Mrembo zinapatikana wapi!!?
 
Acha kumshirikisha Mungu kwenye Mambo machafu. Laiti ungejua alichowafanyia wagombea wenzake, ungenyamaza na kuacha kumpigia upatu wa maombi!
Wagombea wapi,acha kuleta ngonjera zisizo na mashiko hapa
 
Mungu mwenyezi nakuomba achana na huyu Msaliti. Hata akishinda mwachie shetani ashughulike naye.
 
 

Attachments

  • 20221226_220555.jpg
    92.6 KB · Views: 17
Kila leo nakuelimisha lakini ubongo wako huenda unakosa virutubisho sahihi ili uweze kufanyakazi kwa ufanisi. Hufanyi utafiti unajiropokea tu. Kuna Uzi upo humu itafute uusome Kisha urudi hapa kujikana!
Hoja hujibiwa kwa hoja ndugu yangu na siyo kutumia lugha Kali za mashambulizi
 
Mm siwezi kusoma upuuzi mrefu huu ulioandikwa nimesoma heading tu ikanichefua kabisa,ambao hawana kazi waendelee kumuombea spika mshamba kama huyu,habari za kumuombea tuwaachie ndugu zake pekee,sisi hatupotezi muda kwa watu wasio na viwango kama akina Tulia.
 
Watanzania wazalendo na wenye kulipenda Taifa letu wataendelea kumuombea Dr Tulia na mpaka Sasa Mungu yupo upande wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…