Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

Kwangu tatizo sio huyo Tulia Ack binafsi. Tatizo ni kuongoza Bunge la chama kimoja kutokana na uchaguzi wenye faulu nyingi. Na ile covid xix bungeni?
IPU sio klabu ya nchi za udikteta wa chama kimoja. Nanyamaza, simuombei.
 
HAWEZI KUPATA USPIKA NI MVUNJA KATIBA
ANARUHUSU BUNGE LA WABUNGE FAKE
 
I am sorry. She is childly, too partisan and not seriously minded.
 
Takataka takataka hiyo
 
Hatutaki utajua mwenyewe kwanza simkubali hta kidogo
 
Ni mwana Simba SC Mwenzangu ila namwombea aanguke tena aanguke vibaya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…