Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

Ni mwana Simba SC Mwenzangu ila namwombea aanguke tena aanguke vibaya mno.
Atapita Tu kwa kishindo maana Taifa lipo upande wake, Bara Zima la Afrika limempatia baraka na Dunia yote kwa ujumla imeamua kusimama na Dr Tulia.
 
Akumbuke huko hakuna wizi wa kura waliouzoea.
 
mwombee wewe sisi hatuombei watu wanaouza nchi na wananchi wake.
 
DUH KAKA LUCAS HAYA NI YA KWELi?

KUMBE WEWE NI PUNGA LA SISIEMU[emoji23]
Najuwa watu wanaandika kwa kutumia lugha zote chafu na za matusi ili kunihamisha lakini kwa bahati mbaya Ni kwamba hawawezi kufanikiwa watu wa namna hiyo ,maana Mimi Nina stamina ya kifua
 
Nilikuwa siijui hii Habari kumbe Kuna kitu Anagombea huko.... Aisee Dua zote mbaya zimuendee kwake Ashindwe tena kwa Aibu kubwa Yani hata kumi bora asiwepo.
 
Binafsi namuomba Mwenyezi Mungu ashindwe!
 
Sasa Namba ya simu huwa unaweka ya nini?? Mbona kama unatafuta kitu? [emoji23]
 
Kwa nini anaacha Ubunge. Ameona Sugu ni tishio kwake.
Nani kakwambia kuwa anaacha ubunge? Hakuna mwana Mbeya mjini mwenye Akili Timamu anayeweza kubali kumtoa Dr Tulia Bungeni .kila mmoja ameguswa na uchapa kazi wa Dr Tulia katika kuchochea maendeleo Jimbo la Mbeya mjini na Mbeya nzima kwa ujumla wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…