Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

Huyo iwe jua iwe mvua hawezi kupata ubunge wa Mbeya Mjini 2025 labda uchaguzi uwe umevurugwa.
 
Tulia ana laana ya kuwatukana wazee wake wa Mbeya hawezi kushinda!!
 
Sawa tu, ashinde huyu bi dada kwa kuwa anajua kusimamia bunge vema hasa kwenye mambo yenye maslahi mapana na nchi kama jambo la watu saaaafi kabisa wenye heri nyingi DP WORLD.
 
Laana ya mkataba wa DP world itamfanya arudi mikono mitupu.

Andika haya maneno yangu leo.
 
Nyie si ni wataalam wa kuiba kura kamsaidieni ashinde. Pumbavu kabisa
 
Hiyo IPU itaishia kuwa ICU kama ndo wagombea wenyewe hao
 
Ingekuwa akishinda anahamia huko na kutokurudi Bungeni hata mimi ningemuombea...., lakini since that is not the case nadhani sala zako peleka kwenye kuomba akili zimrudie kwa manufaa ya Taifa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…