Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

Mwanamme huyu kaja na mpya
Yaani kaamua kuwa chawa wa mwanamke duuu
Wataalam wanasema ni tatizo la hormones. Kuna wanaume wana hormones za kike. Hawa mara nyingi huambatana zaidi na wanawake, na wakiwa na wanawake, hujiona wapo na wenzao kuliko wakiwa na wanaume wenzao.

Mleta mada uliwahi kumwona akimpamba mwanaume kwa sifa kama anavyowasifia viongozi wanawake? Yawezekana akawa ni mmoja wao wenye hilo tatizo.
 
Uchuro huu
 
Hongera Mh Dr. Tulia kwa ushindi mnono , kura ulizopata ni ishara ya imani ya wajumbe kwako. Kura 172 /303
 
Asanteeeeni sana watanzania wenzangu kwa maombi yenu yaliyopelekea na kumuwezesha Dada yetu na speaker wefu kushinda kwa kishindo kilichoitikisa Dunia nzima.ameliheshimisha Taifa letu na kutupatia heshima watanzania wote kwa ujumla wetu.tunakila sababu ya kutembea kifua mbele na kujivunia utanzania wetu tuna kila sababu ya kumpongeza sana Dr Tulia kwa uwezo mkubwa sana aliouonyesha Dr Tulia katika kujenga hoja zake zenye ushawishi na kuwafanya wajumbe wampigie kura za ndio kwa kishindoo kikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…