Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

Maombi gani kwa mtu asiejua kazi yake
 
Anakwenda kufanya nini huko wakati anavurunda hapa nchini?
 
Acha upuuzi wewe, hatuwezi kumuombea msaliti wa rasilimali za nchi.
 
Katufanyia nini jema sisi mpaka tumuombee! Au kusimamia huuzwaji wa Bandari zetu
 
Amefanya makubwa Sana hapa nchini katika kulitumikia Taifa letu katika nafasi mbalimbali alizopewa na kuaminiwa.
Kipi kikubwa alichofanya hadi awe na sifa ya kumpatia support ya kuongoza IPU? Orodhesha hayo makubwa aliyoweza kufanya hapa.
 
Tumwombee kwa nani?
Huyu, Tunaemwani nina hakika Maombi kwake hayatapokelewa!
 
Katufanyia nini jema sisi mpaka tumuombee! Au kusimamia huuzwaji wa Bandari zetu
Bandari yetu na Rasilimali zetu zipo katika mikono salama ya mzalendo wa kweli mama Samia suluhu Hassani,huku Bunge letu imara chini ya uongozi shupavu wa Dr Tulia likiendelea kuisimamia serikali
 
Bandari yetu na Rasilimali zetu zipo katika mikono salama ya mzalendo wa kweli mama Samia suluhu Hassani,huku Bunge letu imara chini ya uongozi shupavu wa Dr Tulia likiendelea kuisimamia serikali
Nenda zako huko
 
Huyo mchawi nani Muombee.!? Muombee wewe na familia yako.
 
Yaani tunapeleka MTU ambaye Bunge la bongo Tu limemshinda , sasa huko tunapeleka kitu Gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…