KingMwaisa
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 120
- 194
Acha Wivu, kiukweli sina Sana Mambo ya Kisiasa lakini anauwezo Mkubwa wa Kuongoza. Nasikiaga ni kiongozi wa kuzaliwa tokea enzi za Babu zake nao akina Mwansasu kule Tukuyu@Kapugi/Lumbira, Mbeya Mjini, Ileje ni Viongozi so anachokionesha habaahatishi.Ataenda kulitia aibu taifa.
Bunge la nchi yake tu limemshinda, analiendesha kama anaendesha moot court
akipata hicho cheo si ndo kiburi kitaongezekaMaombi gani kwa mtu asiejua kazi yake
Tweleze vizuri, uchaguzi una wagombea wangapi? Na wanatoka nchi gani? Shindano litafanyika nchi gani?Ndugu zangu watanzania,
Kwa unyenyekevu na heshima kubwa Sana nawaombeni watanzania kila mmoja kwa Imani Yake Tumuombee Mh Dr Tulia Ackson mwansasu Ashinde Urais wa IPU yaani umoja wa mabunge Duniani. Dr Tulia Ni spika wa bunge letu ,mpaka Sasa anaendelea kupata uungwaji mkono kutoka maeneo mbalimbali ndani ya Bara la Afrika.
Dr Tulia Ackson mwansasu Ni Dada msomi wa Kiwango Cha juu na nguli wa Sheria ambaye amekuwa Naibu mwanasheria mkuu wa serikali nafasi aliyoitumikia kwa uaminifu na weledi wa Hali ya juu Sana.Nyota yake kisiasa ilianza kung'ara Mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015 ,Ambapo alipata bahati ya kuteuliwa ubunge na aliyekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya Tano Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli,Ambapo baada ya kuingia Bungeni kupitia mlango huo akapata bahati ya kuaminiwa na chama Cha mapinduzi kusimama Kama mgombea pekee ndani ya Bunge kuwania nafasi ya unaibu spika wa bunge letu na kufanikiwa kushinda kwa kishindo.
Aliongoza kwa mafanikio makubwa Sana, Ambapo ilipofika mwaka 2020 alitupa karata yake ndani ya CCM na kufanikiwa kushinda kwa kishindo katika kura za maoni ,na kupitishwa na kamati kuu ya CCM Taifa kupeperusha Bendera ya CCM Jimbo la Mbeya mjini,Ambapo alipita kwa kishindo kikuu na kurejea Bungeni Kama mbunge wa kuchaguliwa na wananchi na kupita Tena katika nafasi ya unaibu spika, na baadaye kuja kuwa spika wa bunge baada ya kujiuzulu kwa mh Job yuston Ndugai.
Dr Tulia Ni kiongozi mnyenyekevu Sana na mwenye moyo wa huruma na upendo Sana,ndio maana ukienda katika mkoa wa Mbeya hakuna mahali ambako hutakuta Alama za Dr Tulia,kila eneo utakutana na mikono ya Dr Tulia,kila sehemu utaona na kuonyeshwa juhudi na alama zake, Ni kiongozi aliyegusa maisha ya watu wengi Sana kuanzia yatima,watu wenye ulemavu ,wajane na wazee ame wasaidia Sana bila mipaka Wala kikomo,.vijana wengi Sana Mkoani Mbeya wamenufaika na kupata matumaini kupitia Dr Tulia,Ni yeye aliye wawezesha mamia kwa maelfu ya vijana mitaji ya kufungua biashara,ni yeye amewezesha mamia ya vijana kujipatia pikipiki mpya pamoja na bajaji bure kabisa kwa ajili ya kufanyia biashara na kusaidia familia zao na kuondokana na utegemezi wa kipato, Ni kupitia Dr Tulia vikundi vingi vya akina mama,vijana na watu wenye ulemavu walipatiwa mitaji ya kutosha,Dr Tulia ameleta nuru na Tabasamu kwa maelfu ya Wana Mbeya.
Dr Tulia ni Dada na kiongozi mwenye huruma Sana na msikivu wa Kiwango Cha juu Sana ,husaidia bila kujali eneo ,au Jimbo au mkoa .Ni kwa moyo wake huo wa upendo na huruma amewahi kusaidia mamia ya mabati katika shule ya msingi Mabatini inayopatikana katika mkoa wa songwe ,wilaya ya mbozi,mji mdogo wa mlowo,kitongoji Cha mabatini B.Alitoa msaada huo mkubwa kabisa bila kujali kuwa shule hiyo IPO katika mkoa na Jimbo jingine,akiwa na mh mbunge wa viti maalumu CCM mkoa wa songwe mh Juliana Daniel shonza walisaidia katika ukamilishaji wa vyumba vya madarasa yaliyo kuwa yanahitajika Sana kwa wakati huo.
Uongozi wa Dr Tulia umekuwa Ni kwa ajili ya kuwatumikia watu bila kujali itikadi za kisiasa,Wala eneo anakotokea mtu,maisha ya Dr Tulia yameleta furaha katika mioyo ya watu wengi Sana,amegusa maisha ya wengi Sana waliokuwa wamekata Tamaa na kuona Giza mbele Yao,siku zote amekuwa karibu Sana na watu,awapo jimboni au Mkoani Mbeya muda wote utamuona akiwa na wananchi wanyonge mitaani akitoa misaada ,utamuona muda wote akisaidia watu wenye Mahitaji maalumu,utamuona muda wote akisaidiana na viongozi wengine kutatua kero za wananchi,utamuona muda wote akiwatetea na kuwasemea Wananchi.
Ni kiongozi anayejuwa Nini maana ya maisha hasa kwa kuzingatia kuwa amekulia katika maisha magumu lakini akiwa na Imani IPO siku yatapita na Mungu atamgusa na kumuinua na siku moja atamfuta machozi mama yake na kugusa maisha ya watu wengine wenye kuhitaji msaada.Ni kiongozi asiye na kiburi Wala dharau wala ubaguzi na ndio maana husaidia Wote na kujumuika na wote ,Ni kiongozi mwenye kujishusha na kujinyenyekeza kwa watu,Ni mwenye hofu ya Mungu na mcha MUNGU Sana. Ni mwenye maadili mema na mwenye staha na heshima kubwa,anao uwezo mkubwa Sana wa kiuongozi na kiutendaji, anao uwezo wa kuwaunganisha watu na kujenga umoja na mshikamano,ndio maana kwa Sasa Mbeya haina mavurugu na badala yake inavuma na kusikika kwa maendeleo tu na miradi mbalimbali ya maendeleo inaendelea kuchipua na kufanyika .
Tufunge na kumuombea mtoto wetu, Dada yetu na kiongozi wetu Dr Tulia ili akashinde kwa kishindo na kutuletea heshima Kama Taifa kimataifa, Tuendelee kusimama Naye na kumpa faraja na nguvu za kusonga mbele. Itakuwa ni fahari kwetu watanzania akishinda uchaguzi huo unaofanyika mwezi October.Tumbebe katika mikono yetu na mioyo yetu kimaombi, Tumuombee kwa nguvu zetu zote na tuwashawishi wengine kutoka Mataifa mengine ili watuunge mkono kwa mtoto wetu wa kitanzania,Dada yetu imara ,msomi wa Kiwango Cha juu,mwenye msimamo usiyo yumba aweze kupita na kutuletea heshima.
Rai yangu Namuomba Dr Tulia dada yangu aendelee kumuomba mungu amtangulie katika safari hii ambayo sisi mamilioni ya watanzania tupo nyuma yake na tumembeba kimaombi, Aendelee kumtumainia na kumtegemea Mwenyezi MUNGU katika kila Hatua apigayo.viongozi wetu mbalimbali ngazi ya Taifa watumie ushawishi wetu kidiplomasia kumsaidia spika wetu kwa kila namna ikiwezekana hata viongozi wastaafu katika siasa katika ngazi mbalimbali wafanye ushawishi wa kidiplomasia kuhakikisha kuwa tunapata uungwaji mkono kwa Tulia wetu na kuzoa Kura za kutosha siku ya uchaguzi.mimi binafsi nitaendelea kumuombea Dada yangu kwa Imani yangu mbele za Mwenyezi MUNGU.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Endelea kusikia.Acha Wivu, kiukweli sina Sana Mambo ya Kisiasa lakini anauwezo Mkubwa wa Kuongoza. Nasikiaga ni kiongozi wa kuzaliwa tokea enzi za Babu zake nao akina Mwansasu kule Tukuyu@Kapugi/Lumbira, Mbeya Mjini, Ileje ni Viongozi so anachokionesha habaahatishi.
Kama unaishi nje ya Tz rudi nikueleze ila kama upo hapa Tz basi utakuwa MilembeMikataba ipi ya kuuza nchi aliyoisimamia?
Atapita tu kwa uweza wa MWENYEZI
Haya maswali so kwa Nia njema😄😄Tweleze vizuri, uchaguzi una wagombea wangapi? Na wanatoka nchi gani? Shindano litafanyika nchi gani?
Relax wakati unatupa habari nzuri kama hizi .
Halafu inamsaidia nini mtu wa kawaida kama mimi ?
Spika wa Bunge asitokane na vyama vya siasa.Utapata akili kichwani mwako
Kauli ya kitapeli 👆👆 hata wanaotafuta ubunge huitumia sana!!Kwa unyenyekevu na heshima kubwa Sana nawaombeni
Watanzania gani, sema nyie chawa. Au atume vyombo vya dola vikamsaidie kupora kura.Ndugu zangu watanzania,
Kwa unyenyekevu na heshima kubwa Sana nawaombeni watanzania kila mmoja kwa Imani Yake Tumuombee Mh Dr Tulia Ackson mwansasu Ashinde Urais wa IPU yaani umoja wa mabunge Duniani. Dr Tulia Ni spika wa bunge letu ,mpaka Sasa anaendelea kupata uungwaji mkono kutoka maeneo mbalimbali ndani ya Bara la Afrika.
Dr Tulia Ackson mwansasu Ni Dada msomi wa Kiwango Cha juu na nguli wa Sheria ambaye amekuwa Naibu mwanasheria mkuu wa serikali nafasi aliyoitumikia kwa uaminifu na weledi wa Hali ya juu Sana.Nyota yake kisiasa ilianza kung'ara Mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015 ,Ambapo alipata bahati ya kuteuliwa ubunge na aliyekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya Tano Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli,Ambapo baada ya kuingia Bungeni kupitia mlango huo akapata bahati ya kuaminiwa na chama Cha mapinduzi kusimama Kama mgombea pekee ndani ya Bunge kuwania nafasi ya unaibu spika wa bunge letu na kufanikiwa kushinda kwa kishindo.
Aliongoza kwa mafanikio makubwa Sana, Ambapo ilipofika mwaka 2020 alitupa karata yake ndani ya CCM na kufanikiwa kushinda kwa kishindo katika kura za maoni ,na kupitishwa na kamati kuu ya CCM Taifa kupeperusha Bendera ya CCM Jimbo la Mbeya mjini,Ambapo alipita kwa kishindo kikuu na kurejea Bungeni Kama mbunge wa kuchaguliwa na wananchi na kupita Tena katika nafasi ya unaibu spika, na baadaye kuja kuwa spika wa bunge baada ya kujiuzulu kwa mh Job yuston Ndugai.
Dr Tulia Ni kiongozi mnyenyekevu Sana na mwenye moyo wa huruma na upendo Sana,ndio maana ukienda katika mkoa wa Mbeya hakuna mahali ambako hutakuta Alama za Dr Tulia,kila eneo utakutana na mikono ya Dr Tulia,kila sehemu utaona na kuonyeshwa juhudi na alama zake, Ni kiongozi aliyegusa maisha ya watu wengi Sana kuanzia yatima,watu wenye ulemavu ,wajane na wazee ame wasaidia Sana bila mipaka Wala kikomo,.vijana wengi Sana Mkoani Mbeya wamenufaika na kupata matumaini kupitia Dr Tulia,Ni yeye aliye wawezesha mamia kwa maelfu ya vijana mitaji ya kufungua biashara,ni yeye amewezesha mamia ya vijana kujipatia pikipiki mpya pamoja na bajaji bure kabisa kwa ajili ya kufanyia biashara na kusaidia familia zao na kuondokana na utegemezi wa kipato, Ni kupitia Dr Tulia vikundi vingi vya akina mama,vijana na watu wenye ulemavu walipatiwa mitaji ya kutosha,Dr Tulia ameleta nuru na Tabasamu kwa maelfu ya Wana Mbeya.
Dr Tulia ni Dada na kiongozi mwenye huruma Sana na msikivu wa Kiwango Cha juu Sana ,husaidia bila kujali eneo ,au Jimbo au mkoa .Ni kwa moyo wake huo wa upendo na huruma amewahi kusaidia mamia ya mabati katika shule ya msingi Mabatini inayopatikana katika mkoa wa songwe ,wilaya ya mbozi,mji mdogo wa mlowo,kitongoji Cha mabatini B.Alitoa msaada huo mkubwa kabisa bila kujali kuwa shule hiyo IPO katika mkoa na Jimbo jingine,akiwa na mh mbunge wa viti maalumu CCM mkoa wa songwe mh Juliana Daniel shonza walisaidia katika ukamilishaji wa vyumba vya madarasa yaliyo kuwa yanahitajika Sana kwa wakati huo.
Uongozi wa Dr Tulia umekuwa Ni kwa ajili ya kuwatumikia watu bila kujali itikadi za kisiasa,Wala eneo anakotokea mtu,maisha ya Dr Tulia yameleta furaha katika mioyo ya watu wengi Sana,amegusa maisha ya wengi Sana waliokuwa wamekata Tamaa na kuona Giza mbele Yao,siku zote amekuwa karibu Sana na watu,awapo jimboni au Mkoani Mbeya muda wote utamuona akiwa na wananchi wanyonge mitaani akitoa misaada ,utamuona muda wote akisaidia watu wenye Mahitaji maalumu,utamuona muda wote akisaidiana na viongozi wengine kutatua kero za wananchi,utamuona muda wote akiwatetea na kuwasemea Wananchi.
Ni kiongozi anayejuwa Nini maana ya maisha hasa kwa kuzingatia kuwa amekulia katika maisha magumu lakini akiwa na Imani IPO siku yatapita na Mungu atamgusa na kumuinua na siku moja atamfuta machozi mama yake na kugusa maisha ya watu wengine wenye kuhitaji msaada.Ni kiongozi asiye na kiburi Wala dharau wala ubaguzi na ndio maana husaidia Wote na kujumuika na wote ,Ni kiongozi mwenye kujishusha na kujinyenyekeza kwa watu,Ni mwenye hofu ya Mungu na mcha MUNGU Sana. Ni mwenye maadili mema na mwenye staha na heshima kubwa,anao uwezo mkubwa Sana wa kiuongozi na kiutendaji, anao uwezo wa kuwaunganisha watu na kujenga umoja na mshikamano,ndio maana kwa Sasa Mbeya haina mavurugu na badala yake inavuma na kusikika kwa maendeleo tu na miradi mbalimbali ya maendeleo inaendelea kuchipua na kufanyika .
Tufunge na kumuombea mtoto wetu, Dada yetu na kiongozi wetu Dr Tulia ili akashinde kwa kishindo na kutuletea heshima Kama Taifa kimataifa, Tuendelee kusimama Naye na kumpa faraja na nguvu za kusonga mbele. Itakuwa ni fahari kwetu watanzania akishinda uchaguzi huo unaofanyika mwezi October.Tumbebe katika mikono yetu na mioyo yetu kimaombi, Tumuombee kwa nguvu zetu zote na tuwashawishi wengine kutoka Mataifa mengine ili watuunge mkono kwa mtoto wetu wa kitanzania,Dada yetu imara ,msomi wa Kiwango Cha juu,mwenye msimamo usiyo yumba aweze kupita na kutuletea heshima.
Rai yangu Namuomba Dr Tulia dada yangu aendelee kumuomba mungu amtangulie katika safari hii ambayo sisi mamilioni ya watanzania tupo nyuma yake na tumembeba kimaombi, Aendelee kumtumainia na kumtegemea Mwenyezi MUNGU katika kila Hatua apigayo.viongozi wetu mbalimbali ngazi ya Taifa watumie ushawishi wetu kidiplomasia kumsaidia spika wetu kwa kila namna ikiwezekana hata viongozi wastaafu katika siasa katika ngazi mbalimbali wafanye ushawishi wa kidiplomasia kuhakikisha kuwa tunapata uungwaji mkono kwa Tulia wetu na kuzoa Kura za kutosha siku ya uchaguzi.mimi binafsi nitaendelea kumuombea Dada yangu kwa Imani yangu mbele za Mwenyezi MUNGU.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Hakika. Sina la kujaziaHayo ni matumizi mabaya ya maombi
Wazungu hawawezi kumpa kura hata siku Moja.Ndugu zangu watanzania,

Ndugu zangu watanzania,

wakati hili la TZ tu hakushinda jimbo, huko ni kumkosea Muumba wetu.Ndugu zangu watanzania,
Kwa unyenyekevu na heshima kubwa Sana nawaombeni watanzania kila mmoja kwa Imani Yake Tumuombee Mh Dr Tulia Ackson mwansasu Ashinde Urais wa IPU yaani umoja wa mabunge Duniani. Dr Tulia Ni spika wa bunge letu ,mpaka Sasa anaendelea kupata uungwaji mkono kutoka maeneo mbalimbali ndani ya Bara la Afrika.
Kweli wengine wanamuda mdogo ujue.Tutamuombea. Ila ndugu yangu uwe unafupisha habari zako. Ni ndefu sana huenda wanaosoma ni watu wachache.
Nani huyo,ama ukikuta chatu anachomoza kutoka shimoni utamzuia na jiwe kubwa ili asilete madhara pindi akitoka?Nikimkuta anahangaika kutoka kwenye shimo lenye chatu nasogeza jiwe kubwa juu ya hilo shimo.