Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,442
- 2,441
Chatu anaweza achomoze kichwa nje na aache chakula ndani? Mimi ntazuia hiyo chakula isitoke humo ndani😂😂😂Nani huyo,ama ukikuta chatu anachomoza kutoka shimoni utamzuia na jiwe kubwa ili asilete madhara pindi akitoka?
Huyu Kada ana hoja sema maandishi marefu sana kiasi kwamba hata anayesifiwa atachoka kusoma. Awe anafupishaKweli wengine wanamuda mdogo ujue.
Kwa kuuza bandari?Dr Tulia Ameliheshimisha Bunge letu
Wabongo ni wapumbavuKwani Ni spika yupi amewahi kuwa Bora kwenu? Maana kila spika akija na kuchaguliwa huwa mnasema maneno hayo hayo
Haki ametenda na Taifa linakwenda kunufaika kimapatoNingemuombea kama angetenda haki kwenye Mkatatba wa Bandari.
Kwani wakilala na njaa ndugu zangu inampunguzia vipi sifa za kiuongozi alizonazo Dr Tulia na nafasi anayowania.? Chakula kinapatikana kwa kufanya kazi kwa juhudi ,bidii na maarifa.Jinga sana utakuta nduguzo wanalala njaa badala uwaombee wapate basic needs unaombea mashine ya watu!! Ombea ata mkeo basi asichepuke mxyuuuh!
Amerimudu vyema Sana Bunge letu ambapo muda wote limejikita katika kuwatetea wananchi .Yaani tunapeleka MTU ambaye Bunge la bongo Tu limemshinda , sasa huko tunapeleka kitu Gani
Kaka uchawa una lipa ety?Amerimudu vyema Sana Bunge letu ambapo muda wote limejikita katika kuwatetea wananchi .
NakaziaHayo ni matumizi mabaya ya maombi
Baba wa familia acha umaku utapigwa pipeAmerimudu vyema Sana Bunge letu ambapo muda wote limejikita katika kuwatetea wananchi .
Laiti ungezijua nyoyo za watanzania ambao hawajakutuma uwasemee inaomba Nini juu ya huyo unayeomba aombewe ungepiga mayowe ndani ya daladala mithili ya mwehu! Ashindwe tu arudi kuwaburuza wenzake!Najuwa wewe siku zote una Vita na chuki yako binafsi kwa mh Dr Tulia,Hata hivyo maombi ya mamillioni ya watanzania yanayoendelea kutolewa na kumpatia baraka zote yatamuwezesha kushinda kwa kishindo.Taifa lipo na Dr Tulia, watanzania wapo Bega kwa Bega na Dr Tulia na Bara la Afrika linasimama na Dr Tulia na ndio chaguo Lao.
Atapita tu kwa uweza wa MWENYEZI MUNGU.wenye chuki binafsi mtaendelea kuumia Sana mioyo yenu.Mungu akikuinua au kutaka kukuinua hakuna mwanadamu awezaye kuzuia mipango ya MUNGULaiti ungezijua nyoyo za watanzania ambao hawajakutuma uwasemee inaomba Nini juu ya huyo unayeomba aombewe ungepiga mayowe ndani ya daladala mithili ya mwehu! Ashindwe tu arudi kuwaburuza wenzake!
Mamilioni ya watanzania wanaendelea kumwombea Dr Tulia na kumpatia Baraka zaoMuombee wewe na babu yako.