Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kweli ila sio Kwa ccmNRNE
CHADEMA ya kina zito iliitingisha CCM, tunahitaji CHADEMA Ile na ACT imara, tunazipata kama tutafanya Reformation ya katiba na mtazamo wa wananchiKweli ila sio Kwa ccm
Sisi tunakalia kupiga mikwara ya no reform No election Mimi binafsi nimeshawafuata hao mange na sativa inbox nikawaambia nyie watanzania mnabidi muwaambie ukweli na ikibidi movements za maandamano zianze Sasa mpaka mwezi wa kumi watu washakua majasiri kidogo sio kukomenti no reform no election siku ya maandamano mtu akisikia bomu anakimbia kama kukuMwafrika ana tatizo la kimfumo, Mtanzania ana tatizo la akili
Hilo halipo Kwa mdomoni narudia tena ccm huwezi kuitoa Kwa mdomo na hawawezi kukupa reform Kwa mdomo wakina. Heche watapiga kelele sanaCHADEMA ya kina zito iliitingisha CCM, tunahitaji CHADEMA Ile na ACT imara, tunazipata kama tutafanya Reformation ya katiba na mtazamo wa wananchi
Subiri muziki wa ChaumaCHADEMA ya kina zito iliitingisha CCM, tunahitaji CHADEMA Ile na ACT imara, tunazipata kama tutafanya Reformation ya katiba na mtazamo wa wananchi
Hao ndio ccm BSubiri muziki wa Chauma
Na kweli tutasubiri sana Kwa hii mikwsra yetu ya No reform No electionKupata katiba mpya ktk mazingira ya amani, mtasubiri sana. By prof. Anna Tibaijuka.
Mara ya kwanza kukusoma nilidhani una akili njema.Nilikosea.Huwezi kumtoa ccm Kwa kutype no reform No election ndio maana hii kauli mbiu imeisha nguvu mtandaoni sio kama mwanzo
barabarani kufanya nini gentleman,Kila siku kwenye page za mange kimambi na sativa ni no Reform no election eti ndio kuandamana hivyo ambapo serikali italeta katiba mpya unajua Kuna vitu vinachekesha sana Bora hata wasiwe wanaandika huo utumbo baada ya kupanga mikakati ya kuingia barabarani Kila siku mikwara ya mtandaoni nasema hivi Kwa staili hii ccm hatoki madarakani milele huwenda ndio wanahati miliki ya hii nchi hivyo tulipe Kodi wao wazitafune na familia zao
Ccm huwezi kumtoa Kwa kutype No reform No electionMara ya kwanza kukusoma nilidhani una akili njema.Nilikosea.
Kutembea au we hutembeagi barabaranibarabarani kufanya nini gentleman,
wananchi hawahitaji makelele, wanachapa kazi,
wazalendo tutawashugjulikia waleta fujo kwa maandamano ya kupinga makelele nonsense.
Umewauliza jinsi wanavyokereka na kujikuna unspotokea ushuzi?Ccm huwezi kumtoa Kwa kutype No reform No election