Watanzania tunalia kwa uchungu lakini CCM katili wapo kimya

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT.


Kwa masikitiko makubwa niwape pole wale wote waliofikwa na msiba pamoja na kujeruhuhiwa katika vurugu za uchaguzi.

Vujana walihamasika vizuri tujifunze tatizo moja la kiufundi maandamano bila vurugu yanawezekana ndiyo yatakayotupa matokeo chanya pia itawapa wakati mugumu.hawa wanaotumia silaha za moto.

Tupo imara zaidi kuliko jana tujipange upya kwa mapambano next time tutatoka kwa wingi na amani itatamalaki tusikate tamaa CCM lazima tuwasimamie kwa ukaribu zaidi bila maandamano hawa kenge hawatajifunza.

Kwa Mara nyingine nawapa pole wahanga wote wa maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…