Watanzania tunaomba mjifunze tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’, mnatutesa sana wafanyabiashara kufundishana mambo ya darasa la pili

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana.

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi.
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter’?!

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana..

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi..,
Kwa hiyo tofauti ya meter/metre na skwea mita ni ipi?🙂
 
Msomi tunaomba utueleze maana ya neno 'MJIFUNZI' Kama ilivyo kwenye kichwa chako Cha habari.
 
IMG_20240530_233823.jpg
 
Mtu halipii bidhaa tu Ila pia huduma inayotolewa pale anapokuja kuinunua. Kwa hiyo ukiona mteja haelewi kitu fulani, ni jukumu lako kumuelewesha kama sehemu mojawapo ya mchakato mzima wa kukamilisha mauzo.

Kwa hiyo mkuu, hiyo ni kazi yako kabisaa yani kiufupi haina kuchoka
 
Kwa hiyo tofauti ya meter/metre na skwea mita ni ipi?🙂
Meter ni kizio cha urefu wa kutoka point moja kwenda point nyingine.
Mfano kona moja ya goli mpaka kona nyingine.

Meter square ni kizio cha eneo. Mfano uwanja wa mpira kujua eneo lake tunachukua urefu wa upande mmoja tunazidisha na urefu wa upande mwingine.
Kinachopatikana ndio eneo la uwanja wa mpira.(100m ×55m) = 5500m².
Hivyo eneo la uwanja ni mita skwea 5500.
 
Mtu halipii bidhaa tu Ila pia huduma inayotolewa pale anapokuja kuinunua. Kwa hiyo ukiona mteja haelewi kitu fulani, ni jukumu lako kumuelewesha kama sehemu mojawapo ya mchakato mzima wa kukamilisha mauzo.

Kwa hiyo mkuu, hiyo ni kazi yako kabisaa yani kiufupi haina kuchoka
Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter’?!

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana..

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi..,
HIli ni tatizo kubwa. Kuna wakati nilikuwa najihusisha na masuala fulani ambapo kuna charge ya huduma fulani kwa square meter na kuna huduma ni kwa run meter. Aisee, ilikuwa muda mwingine ushaanza kutoa huduma mteja anakwambia we si ulisema mita moja bei kadhaa nimekupa kiasi hiki. Kumbe mlipatana square meter.
Hili ni tatizo kubwa sana.
 
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter’?!

Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana..

Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi..,
Kwahiyo ukishajua hivyo ndo usomi wako umekamilika?
 
Nilimuuliza msomi mmoja
"What is pitch diameter ya hili eneo ?
Aligigongongagonga na neno "pitch"mpaka nikamnyang'anya tape meter na kumounyesha njia ya kupima pitch diameter
 
Kwahiyo ukishajua hivyo ndo usomi wako umekamilika?
Elewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..
 
Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
kamsikilize Kanye west Good morning. " Some people graduate but they still stupid"
 
Elewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..
Kuna comment nimeandika naomba unijibu halafu tutaendelea
 
Back
Top Bottom