FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwa hiyo tofauti ya meter/metre na skwea mita ni ipi?🙂Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter’?!
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana..
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi..,
Kiwanja chenye urefu wa meter 10 halafu hakina upana, yaani upana 0? maana yake ni 0 square meter hiyo, maana yake hamna kitu…Labda anataka kiwanja kisicho na upana
Msomi tunaomba utueleze maana ya neno 'MJIFUNZI' Kama ilivyo kwenye kichwa chako Cha habari.Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter’?!
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana..
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi..,
Meter ni kizio cha urefu wa kutoka point moja kwenda point nyingine.Kwa hiyo tofauti ya meter/metre na skwea mita ni ipi?🙂
Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!Mtu halipii bidhaa tu Ila pia huduma inayotolewa pale anapokuja kuinunua. Kwa hiyo ukiona mteja haelewi kitu fulani, ni jukumu lako kumuelewesha kama sehemu mojawapo ya mchakato mzima wa kukamilisha mauzo.
Kwa hiyo mkuu, hiyo ni kazi yako kabisaa yani kiufupi haina kuchoka
HIli ni tatizo kubwa. Kuna wakati nilikuwa najihusisha na masuala fulani ambapo kuna charge ya huduma fulani kwa square meter na kuna huduma ni kwa run meter. Aisee, ilikuwa muda mwingine ushaanza kutoa huduma mteja anakwambia we si ulisema mita moja bei kadhaa nimekupa kiasi hiki. Kumbe mlipatana square meter.Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter’?!
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana..
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi..,
Kwahiyo ukishajua hivyo ndo usomi wako umekamilika?Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter’?!
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana..
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi..,
Sasa imagine mtu anakuja anakwambia nataka meter 5 wakati wewe bei umempa kwa square meter, na anafanya ile bei mara 5 kisha kamaliza.., as if hicho kitu hakina upana yani..
Nilimuuliza msomi mmojaKweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter’?!
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa milioni 1 anakwambia naomba ‘meter 10’…?🤷🏽♂️🤷🏽♂️ , bila kujali kwamba kuna suala la upana..
Hivi waTanzania tunakuwaje na wasomi wajinga kiasi hiki?!!! Halafu jitu kama hilo bahati mbaya ndio lina fluke fluke hadi linapata uRais.., na linasaini mikataba kabisa kwa niaba ya nchi..,
Elewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..Kwahiyo ukishajua hivyo ndo usomi wako umekamilika?
Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
kamsikilize Kanye west Good morning. " Some people graduate but they still stupid"Sijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Chief naona unayafanya mambo yawe makubwa bure,ndio maana kuna specializationSijakataa, ila Ndugu, 95% ya majitu tena yana degree kabisa,are clue less about it, yamepataje kwanza hizo degree, how is this even possible.., tuna elimu gani hapa nchini?!!
Kuna comment nimeandika naomba unijibu halafu tutaendeleaElewa hoja iliyopo mezani, kwamba mtu anaendaje shule hadi anapata degree tena kwa mkopo wa walipa kodi (wafanyabiashara), halafu anakuja tena mtaani kuwatesa wafanyabishara.., elimu gani hii inatolewa nchini?! Yaani tunazalisha wasomi wajinga kwa kiwango hiki?! This is too much..