chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Ukisema bei halisi utaona Mtanzania kubagain ni bora useme bei kubwa tu. Halafu kuna katabia siku hizi mtu anakuomba bei jumla hata kitu kimoja unataka bei ya jumla umeona wapi.
Maisha ya zamani kipindi Kariakoo wahindi wanamiliki maduka unakuta bei imewekwa ni wewe kuchagua Ila sasa hakuna sehemu kunawekwa bei kosa tu ujichanganye kuuliza shilingi ngapi!
Tuwe smart kwenye biashara sio kufanyiana kama tunakariri shuleni