Watanzania tunasambaza bidhaa au huduma gani kwenye mradi wa treni ya SGR?

Watanzania tunasambaza bidhaa au huduma gani kwenye mradi wa treni ya SGR?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu naomba mnisaidie kutoa tongotongo kwenye huu mradi mkubwa wa ujenzi wa treni ya SGR.

Hivi sisi wazawa tunaruhusiwa kusambaza huduma au bidhaa zipi?
 
Mataruma ya zege yote yametengenezwa Tz, au wale jamaa wa Lake sio wazawa?
 
Back
Top Bottom