Watanzania tunataka katiba itakayopendekezwa na watu mil.60 sio hii iliyopendekezwa na watu 20

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.

Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi

KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHI
20220604_235447.jpg
 
Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi
KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHIView attachment 2381222
Kwani johnthebaptist na Lucas mwashambwa wanasemaje?
 
Rasimu ya Katiba ya Warioba ndo mpango mzima maana wananchi kwa ujumla wao walihusika kutoa maoni yaliyomo
 
Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi
KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHIView attachment 2381222
Hakuna kitu kama hicho. Mbona Bungeni hawaendi watanzania wote milioni 60 kwa ujumla wao? Lazima kuwe na uwakilishi.
 
"Hakika Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania wote" "Hivi kuna Rais kama Samia kweli hapa duniani" "Watanzania tunampenda sana Rais wetu" [emoji16][emoji16][emoji16]
"Ccm ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania na tunajivunia kuwa rais mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan"... kuna baadhi ya watu mawazo yao utadhani kuna Tanzania mbili tofauti
 
Katiba mpya inayogusa muungano sahau. CCM wako tayari kuulinda muungano kwa gharama yoyote.
 
Hapa ndio tunaposhindwa kuelewa serikali yetu, itawezekana vipi watu 60 million wakae sehemu 1 kitisha watu mawazo ya kujenga, wachache walichaguliwa tukawapa maoni yetu na walizunguka nchi nzima na kutuhoji tunamtaka kipi kiwemo kwenye katiba yetu.. ni siku nyingi na wengine mungu amewatwaa bila kuona katiba walioizungukia Kila mahali hapa Tanzania.
Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi
KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHIHPa
 
"Hakika Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania wote" "Hivi kuna Rais kama Samia kweli hapa duniani" "Watanzania tunampenda sana Rais wetu" [emoji16][emoji16][emoji16]
HATA MAGUFULI MLISEMA HIVYO HIVYO TENA MLISEMA KALETWA NA MUNGU
 
Hakuna kitu kama hicho. Mbona Bungeni hawaendi watanzania wote milioni 60 kwa ujumla wao? Lazima kuwe na uwakilishi.
Tumia Akili japo Kidogo Watu Mil.60 wanapaswa watoe Maoni na Mapendekezo yao ndio maana yake
 
Back
Top Bottom