Kwani johnthebaptist na Lucas mwashambwa wanasemaje?Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi
KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHIView attachment 2381222
Huyo Lucas Mshamba atakwambia nini cha maana?Kwani johnthebaptist na Lucas mwashambwa wanasemaje?
Rasimu ya Katiba ya Warioba ndo mpango mzima maana wananchi kwa ujumla wao walihusika kutoa maoni yaliyomoNi wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi
KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHIView attachment 2381222
"Hakika Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania wote" "Hivi kuna Rais kama Samia kweli hapa duniani" "Watanzania tunampenda sana Rais wetu" 😁😁😁Huyo Lucas Mshamba atakwambia nini cha maana?
kapimwe akili"Hakika Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania wote" "Hivi kuna Rais kama Samia kweli hapa duniani" "Watanzania tunampenda sana Rais wetu" [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kitu kama hicho. Mbona Bungeni hawaendi watanzania wote milioni 60 kwa ujumla wao? Lazima kuwe na uwakilishi.Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi
KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHIView attachment 2381222
"Ccm ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania na tunajivunia kuwa rais mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan"... kuna baadhi ya watu mawazo yao utadhani kuna Tanzania mbili tofauti"Hakika Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania wote" "Hivi kuna Rais kama Samia kweli hapa duniani" "Watanzania tunampenda sana Rais wetu" [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣Huyo Lucas Mshamba atakwambia nini cha maana?
Tukichapana tutarudi nyuma miaka mingi sana hebu angalia Somalia.Katba haitapatikana bila KUCHAPANA.
Katiba mpya ni jambo jemaKwani johnthebaptist na Lucas mwashambwa wanasemaje?
Katiba ambayo itawapa watu wengine nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chamaKatiba mpya ni jambo jema
Au tuanze na Katiba za vyama tukianzia Ufipa st
Kwa kifupi ni hv kuwa na agenda nje ya maoni ya tume ya Warioba ni uhuniRasimu ya Katiba ya Warioba ndo mpango mzima maana wananchi kwa ujumla wao walihusika kutoa maoni yaliyomo
Kabisaa..Kwa kifupi ni hv kuwa na agenda nje ya maoni ya tume ya Warioba ni uhuni
Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi
KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHIHPa