Hizo alama za kufungua na kufunga semi "........" umeziona kweli!!HATA MAGUFULI MLISEMA HIVYO HIVYO TENA MLISEMA KALETWA NA MUNGU
Lengo lenu ni kutaka mchakato wa Katiba Mpya uendelee kuchelewa ili muendelee kulamba asali siyo!!!Tumia Akili japo Kidogo Watu Mil.60 wanapaswa watoe Maoni na Mapendekezo yao ndio maana yake
Nothing like that. Hakuna popote Duniani kila raia akafikiwa. Ushirikishwani unaweza kupitia vyama vya siasa, asasi za kiraia, Jumuiya mbalimbali n.k.Tumia Akili japo Kidogo Watu Mil.60 wanapaswa watoe Maoni na Mapendekezo yao ndio maana yake
Nakubaliana na wewe. Lkn nadharia na mtazamo huo ndiyo ccm wanautumia kucheza na kuvuruga matakwa ya wananchi. Kwasababu wanajua watanzania hawapendi kuchapana.Tukichapana tutarudi nyuma miaka mingi sana hebu angalia Somalia.
Dialogue, Rasimu ya Warioba.
Sisi tujikite kwenye kutoa Darasa kwa Wananchi wa kawaida kuhusu umuhimu wa Katiba mpya,kwasababu ukienda Vijijini leo wengi hata hawaelewi tofauti ya Katiba na Kabati.Nakubaliana na wewe. Lkn nadharia na mtazamo huo ndiyo ccm wanautumia kucheza na kuvuruga matakwa ya wananchi. Kwasababu wanajua watanzania hawapendi kuchapana.
Ila Rais Samia bwana sijui anajionaje. Tume ya Warioba ilizunguka nchi zima watanzania karibu woote wakatoa maoni wasomi na wasio wasomi wakaweka mezani.Yeye akaacha yoote hayo akajitungia kakikundi ka watu 20 eti ndio kana maoni mazuri?Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na KATIBA ambayo hatukuichangia MAONI wala MAPENDEKEZO KATIBA ambayo iliyotungwa na Watu 20 KATIBA ambayo inanufaisha Watu Wachache hasa Viongozi
KATIBA ambayo ina USULTANI mwingi kwa Viongozi
KATIBA ambayo ni ya CHAMA kimoja wakati Nchi ni ya VYAMA VINGI
KATIBA ambayo haitupi HAKI Wananchi zaidi ya Kuonewa KATIBA ambayo hata Mkichagua VIONGOZI lakini Hawawi Viongozi bali Tunachaguliwa
TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA ya WANANCHIView attachment 2381222
Toa mfano wa nchi iliyowahi kusanya wananchi wake pamoja na kutoa maoni yao kile wanancho kiamini, wachache wanatuwakilisha tuliowengi na tusifikiri tunaweza kuwa na jipya lolote ambalo halipo na haliwezi kizungumzwa mahali pengine na mtu mwingineTumia Akili japo Kidogo Watu Mil.60 wanapaswa watoe Maoni na Mapendekezo yao ndio maana yake