Watanzania, tunaujasiri tena wa kusimama mbele za Wakenya kuwaringishia SGR yetu?

Watanzania, tunaujasiri tena wa kusimama mbele za Wakenya kuwaringishia SGR yetu?

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Viongozi wetu ki ukweli mnajua kutuaibisha saaana yaani!

SGR ya Wakenya tulikuwa tukishinda hapa kuwacheka na kuwalingishia ya kwetu kwamba, lao linatembea mwendo wa kinyonga, na ya kwetu itakuwa mithili ya bombardier yaani!

Mlivyotufanyia viongozi wetu kwenye hizo behewa tuu, inatosha kabisa kusema kwamba, zilongwa mbali, zitendwa mbali!

Hivi nyinyi viongozi wa ccm, huwa mnatuonje yaani!

Mnaenda kutuletea mibehewa ya miaka 40 huko? Wakati mlipoanza ujenzi tuliskia sauti ya kiongozi mkuu wa wakati huo JPM hayati, akutwambia vijana kwamba, atatuletea treni ya kisasa ya mchongoko, bajameni!

Hii maana yake nini, behewa ndio zinamwonekano kama huo, Je kichwa cha treni, si itaonekana na sura mbovu ya kuwatishia hata wapanda treni?
 
Back
Top Bottom