SAMUNGE TZ
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 254
- 23
Nilivyo sikia mabadiliko ya katiba nilipata faraja kuwa tutarekebisha pale tulipojikwaa.Hoja ya katiba mpya Tanzania 2010 haikuwa ya watawala bali ya wapinzani,
Tangu kutungwa kwa sheria ya mabadiliko ya katiba ulitokea mvutano wa baadhi ya vyama kutaka kuhodhi mchakato huo mithili ya white paper[kuongozwa na chama fulani wakati katiba ya nchi si ya chama cha siasa tu]
Awamu ya kwanza imemalizika na tume imekuja na mawazo halisi ya watawaliwa,
Sasa tumeingia kwenye awamu ya pili ambayo watawala wameonyesha kuingilia mchakato kwa kuwalisha wajumbe maneno ya kuwasemea watanzania.
Hapa ni kweli tutapata katiba iliyotokana na wananchi ,nzuri na bora ya miaka 50 ijayo badala ya
hii ya viraka?