Watanzania tuombe Maandamano ya amani kuomba katiba mpya.

Watanzania tuombe Maandamano ya amani kuomba katiba mpya.

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Ni muda muafaka sasa watanzania tupiganie katiba mpya. Bra shaka sasa kila mtanzania ameshapata funzo kutoka uchaguzi unaoendeea kenya.



[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
kufanya mambo kwa msisimko hakutasaidia.
ilikuwa ni wakati wa kuwakumbusha ukawa kazi yao ni nini.
mbona kama gia zilibadilika tangu alipoingia mkuu edo
 
Ukawa waliigomea katiba mpya wakatoka bungeni hao ndio wakulaumiwa
 
Mlipata fursa nzuri kuandika katiba mpya mkaichezea kwa mambo ya kijinga!
Sasa msubiri hiyo miaka 40 aliyosema Jenerali. Habari hawana...
 
Hapa sio kenya, askari wanavunja miguu tuu hawajui cha maandamano ya amani wala nini

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Nafasi ya katiba aliitoa mkwere kuna watu wakaleta ujuaji na ususaji uliotukuka huku wakila posho tu
 
Siyo tuombe, tuwajulishe tu polisi kwamba sisi wenye nchi tutafanya maandamano ya amani kudai Katiba mpya
 
Tumekaa bila kupiga virungu kwa kweli tuwabomoa!

Msitoe povu kila mtu ana haki ya kutoa maoni.
 
Siyo tuombe, tuwajulishe tu polisi kwamba sisi wenye nchi tutafanya maandamano ya amani kudai Katiba mpya

Mkuu;
Mbona kama uliangalia nyuma ukidhani ni policcm wame bisha hodi hapo mlangoni?? Usiogope, ulikuwa ni upepo tu. Hakuna maandamano wala mkusanyiko wa amani. Wanavyuo Udom walipoteza baadhi ya viungo vyao, Je walikuwa na silaha gani iliyoharibu amani yetu?? Polisi wetu labda waende tena ccp wakafundishwe ni nini maana ya maandamano ya amani. Kabla ya hapo, utapoteza kiungo chako haswa huo mguu uliokupeleka barabarani.
 
Katiba si ya kuombwa ni kuwalazimisha tu
 
Ni muda muafaka sasa watanzania tupiganie katiba mpya. Bra shaka sasa kila mtanzania ameshapata funzo kutoka uchaguzi unaoendeea kenya.



[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
Naunga mkono hoja 100% [HASHTAG]#katiba[/HASHTAG] mpya
 
Katiba itamsaidiaje bib yangu kule kijijin.. Najarib kuwaza tu lakin
Wewe ni katika wale wakusoma na kuandika .yaani miaka 4 Leo katiba inaimbishwa jf na kila kona .huna aibu kuja na swali kama hili jf !!??
 
Back
Top Bottom