Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,493
- 5,591
Tukiendelea kulaumu mikataba ya ki chief Mangungo wa Musovero hatuwezi saidia kitu. Dawa ya yote hata ni Halmashauri Kuu kumtafuta mtu mwenye sifa moja tuuu ya utunzaji wa rasilimali za taifa. Huyu 2025 mwaka uwe wa mwisho.
La msingi ni kuomba tu Halmashauri Kuu ya CCM (maana tunajua ni lazima Rais atokee CCM) ichague mgombea urais mwenye haiba ya utunzaji wa rasilimali za taifa. Kwa manufaa ya sasa na ya baadae. Mgombea urais mwenye hulka hata kusaini mikataba ina sainia kwa manufaa mazuri ambayo hata yeye lazima atuambie live bila chenga.
So hii lalama mtandaoni haitosaidia kitu. Tunaombeni Halmashauri Kuu ya CCM mwakani 2025 kabla ya uchaguzi mkuu msikosee hata nukta.