Elections 2010 watanzania tuombwe radhi

Elections 2010 watanzania tuombwe radhi

Joined
Oct 12, 2010
Posts
29
Reaction score
0
katika jamii iliyo makini kuna sababu kwa Basil Mramba KUWAOMBA RADHI WATANZANI Kwa kauli yake ya kusema NDEGE ya raisi lazima Inunuliwe hata mkila NYASI Heri angesema tule majani maana hata mchicha na tembele ni majani lakini amepointi tule nyasii kama vile sisi ni mbuzi na ngombe asipo fanya hivyo mapema atavuna alicho panda nasema AMINA!
 
Back
Top Bottom