Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
1.
Kumekuwa na Hiyari ya LAZIMA kupokea chanjo ya UVIKO 19.
2.
Serikali imejitoa kudhamini raia wake katika kuwajibika endapo chanjo itamletea madhara aliyechanjwa
3.
Nguvu kubwa inatumika kuwaswaga wananchi kwenda kuchanjwa.
4.
Hayati JPM alishasema kuwa chajo ya CORONA inaweza kutuletea maradhi zaidi.
Hivyo basi,
Kwa kuwa njia za asili ziliwezesha kutulinda dhidi ya UVIKO 19 na mpaka sasa inawezekana hatuna wagonjwa wengi wanaokufa kutokana na Corona
Kwa kuwa pia hata nchi ambazo wanatengeneza na kusambaza chanjo wamedhihirisha mashaka dhidi ya chanjo hii,
Kwa nini serikali isifanye mchakato wa kura ya maoni kuhusiana na Chanjo?
Inawezekana uamuzi wa Tanzania ukaiponya dunia kwa sababu hadi sasa mataifa mengi yanatamani kujinasua lakini wanakosa njia.
Hiari na ulazima uendane na utashi wa wananchi na siyo maamuzi ya wachache dhidi ya wengi