Hizi zitavaliwa wapi na hali Kamanda Mkuu kapiga marufuku?
Tuna nguvu kuliko jeshi la polisi na JKT kwa pamoja, tuunganishe nguvu tudai tume huru.Mkuu, kwa tume zetu hizi za uchaguzi, CCM itabaki madarakani miongo mingi ijayo.
Wataondoka tu mkuu usihofu kuna namna yao inakuja.Mkuu kuiondoa ccm madarakani ni pale ccm wenyewe wakiamua kuondoka na kuweka chama mbadala!!Waamue wenyewe na sio vinginevyo!!
Naunga mkono hoja, watakao iondoa ccm madarakani ni ccm wao wenyewe umo umo ndani.Mkuu kuiondoa ccm madarakani ni pale ccm wenyewe wakiamua kuondoka na kuweka chama mbadala!!Waamue wenyewe na sio vinginevyo!!
Hizi zitavaliwa wapi na hali Kamanda Mkuu kapiga marufuku?
Wewe umeamini propaganda ya JPM. Basi endelea kusifia udikteta.Ni kweli mabadiliko tunayata sana, lakini fikilia wagombea wanaoletwa na upinzani!!
Lakini pia fikilia, kama hao wapinzani wananunuliwa hii ina maana wanapenda pesa zaidi ya utu wao, vyama vyao na hata nchi yao. Je tukiwakabidhi nchi si watanunuliwa wao, watatuuza wananchi wote na watauza mali asili zetu zote!!
Viongozi wakuu wanalewa mpaka wanavunjika miguu, wakipewa nchi si watarudisha viroba ili wananchi wote tulewe tuvunjike vichwa!!
Wataondoka tu mkuu usihofu kuna namna yao inakuja.
Dhana potofu kabisa, pamoja na kwamba nilikubaliana na mengine uliyoweka kwenye mada yako.Mfumo uliopo ulitufaa wakati wa kupigania uhuru. Baada ya hapo mfumo huu ulikuja na siasa zisizofaa za kijamaa ambazo ndio zinaeleza kwanini Tanzania imekuwa moja kati ya nchi maskini zaidi duniani. Nyerere kwa kuwa muwazi aliona makosa yake na kuamua kujiuzulu kupisha mabadiliko.
Suala si tu kubadilisha vyama vikongwe....kwani hata vikibadilishwa huwa vinaweza kurudi Tena baada ya miaka mingi kupita.
Kwa hiyo wala WANANCHI hawana MCHOKO wa RANGI YA CHAMA TAWALA km UNAVYOTUAMINISHA HAPA...
UCHAGUZI ulikwishajulikana utafanyika Tena mwaka huu nilitegemea MZIVAE HIZO TISHETI MIAKA 5 toka 2015...