Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,122
Ni kweli mabadiliko tunayata sana, lakini fikilia wagombea wanaoletwa na upinzani!!
Lakini pia fikilia, kama hao wapinzani wananunuliwa hii ina maana wanapenda pesa zaidi ya utu wao, vyama vyao na hata nchi yao. Je tukiwakabidhi nchi si watanunuliwa wao, watatuuza wananchi wote na watauza mali asili zetu zote!!
Viongozi wakuu wanalewa mpaka wanavunjika miguu, wakipewa nchi si watarudisha viroba ili wananchi wote tulewe tuvunjike vichwa!!
Kabisaaa mkuu wanguUmenena mkuu aya majamaa ya chadema ni marohoo tu ya madaraka hayana nia ya dhati kama yaandikavyo umu umefafanua vyema [emoji1306]
Nchi zote zilizochukua mfumo wa kijamaa duniani siku hizi ndizo nchi maskini zaidi hili linajulikana na watu wote. Rejea nchi za Amerika ya Kusini, Ulaya ya Mashariki, Asia, nk Huu mfuno bado upo hata kama hatujitangazi, mfumo wetu bado ni huo kivitendo. Tubadilike tusisubiri Nyerere aje kutoshauri tuachane na siasa zisizo na tija.Dhana potofu kabisa, pamoja na kwamba nilikubaliana na mengine uliyoweka kwenye mada yako.
Ni wapi Afrika ambako hapakuwa na ujamaa pamebadilika zaidi ya ilivyobadilika Tanzania. Wote hao walikuwa na ujamaa?
Unapoimbishwa wimbo, jaribu kuelewa maana yake usiimbe tu wimbo kama kasuku.
Bado unalo tegemeo la kuwepo tume nyingine wakati huu?Tuna nguvu kuliko jeshi la polisi na JKT kwa pamoja, tuunganishe nguvu tudai tume huru.
Aiseee, achana na hili ndani ya mada yako, unaivuruga.Nchi zote zilizochukua mfumo wa kijamaa duniani siku hizi ndizo nchi maskini zaidi hili linajulikana na watu wote. Rejea nchi za Amerika ya Kusini, Ulaya ya Mashariki, Asia, nk Huu mfuno bado upo hata kama hatujitangazi, mfumo wetu bado ni huo kivitendo. Tubadilike tusisubiri Nyerere aje kutoshauri tuachane na siasa zisizo na tija.
Kununuliwa wabunge wa upinzani analalamika JPM?Wewe umeamini propaganda ya JPM. Basi endelea kusifia udikteta.
Inawezekana ni sisi watanzania kuwa jasiri na wenye akili kwani woga umezidi.Bado unalo tegemeo la kuwepo tume nyingine wakati huu?
Hivi wewe kweli unamini Lissu anatetea ushoga au Mbowe ni mlevi? Ndio maana nasema propaganda za ccm zimewaingia sana na hata hamjui hilo.Kununuliwa wabunge wa upinzani analalamika JPM?
Basi sawa wewe endelea kusifia ushoga wa Lissu na ulevi wa Mbowe
Well....jumuiya ya KIMATAIFA haingilii Mambo ya ndani ya SOVEREIGN states mpaka kuwe na madhila makubwa kutishia uhai wa wananchi...Usiongee kama KASUKU huu uchaguzi unaangaliwa pia na JUMUIYA mbali mbali za KIMATAIFA. Usidhani Tanzania ni KISIWA ambacho UDHALIMU unaweza kukithiri huku jumuiya za kimataifa na nchi za Wafadhili zikikaa kimya. Wakifanya yale mnayoyapenda hamkawii kuwaita NCHI ZA WAFADHILI lakini wakionyooshea kidole UDHALIMU na DHULMA zinazoendelea Nchini basi mnageza kauli na kuwaita MABEBERU. Tia akili kichwa so that you can think OUTSIDE THE BOX.
Naona huna umakini na mada yako.Inawezekana ni sisi watanzania kuwa jasiri na wenye akili kwani woga umezidi.
Tuache woga tuingie mtaani tudai tume huru na hiki kiwe kigezo au sharti la uchaguzi mkuu October. Bila tume huru tusishiriki. Wewe unapenda tume huru au ndio wale wa lolote na liwe ilimradi nakula ugali.Naona huna umakini na mada yako.
Ni mada mhimu lakini unajipigia tu bora liende.
Wakati huu unataka kufanyike nini ili kuwezesha hiyo tume huru kuwepo kabla ya uchaguzi mkuu?
LOoo, mkuu nimekusikia (kusoma) unavyowika hapa!Well....jumuiya ya KIMATAIFA haingilii Mambo ya ndani ya SOVEREIGN states mpaka kuwe na madhila makubwa kutishia uhai wa wananchi...
Museveni AMEKUWA akiitwa dikteta kwa jinsi anavyowapelekapeleka wapinzani wake...Wala hajanyimwa hiyo MISAADA USEMAYO......
UHURU Kenyatta pamoja na mtangulizi wake aliyeapishwa IKULU na Mwenyekiti wa tume kuikimbia nchi Wala HAWAJANYIMWA HIYO MISAADA sanasana OBAMA ameCement UHUSIANO na Kenya...
Hivi kweli unaamini kuwa huyo hapo ni Mbowe? Hata angekuwa yeye huoni kwamba anakunywa maji?Sitaki ubishiView attachment 1502167
Hapa hakuna kiongozi anayeweza kuamsha na kuongoza hayo unayoyataka. Angekuwepo, tungekwishaona dalili na kumpa 'support.'Tuache woga tuingie mtaani tudai tume huru na hiki kiwe kigezo au sharti la uchaguzi mkuu October. Bila tume huru tusishiriki. Wewe unapenda tume huru au ndio wale wa lolote na liwe ilimradi nakula ugali.
Sasa Nimeanza KUUFAHAMU uelewa wako vizuri.Nchi zote zilizochukua mfumo wa kijamaa duniani siku hizi ndizo nchi maskini zaidi hili linajulikana na watu wote. Rejea nchi za Amerika ya Kusini, Ulaya ya Mashariki, Asia, nk Huu mfuno bado upo hata kama hatujitangazi, mfumo wetu bado ni huo kivitendo. Tubadilike tusisubiri Nyerere aje kutoshauri tuachane na siasa zisizo na tija.
Umekariri.....aliyekwambia nusu Karne NI miaka mingi kakukaririsha wewe....Ni kweli mtoa mada, mabadiliko ya kweli yatakuja pale ccm itakapoondoka madarakani.
Haiwezekani mfumo huo huo unaongoza kwa zaidi ya nusu karne alafu tutegemee mabadiliko. No way..
Naelewa ilikuwa African Socialism, lakini pengine ndiyo the poorest form of socialism kwani ilikuwa too idealistic and based on seeing poverty as a virtue. Hii ndio kitu mbaya zaidi iliyonasa kwenye bongo zetu hadi leo, poverty is virtue! Zamani ukiwa na nyumba mbili unaambiwa umepata wapi fedha? Ndio chanzo cha wachagga kuitwa wezi kwani walionekana kujikusanyia mali na hii iliwafanya waonekane wenye kupenda hela mno. Mfumo huu umeacha kovu kwa watanzania hadi leo.Sasa Nimeanza KUUFAHAMU uelewa wako vizuri....
Bwana fazili,Nyerere hakuacha UKOMUNISTI wala UJAMAA ule wa kina KARL MAX na wenzke........
Nyerere alitujengea UJAMAA was kiafrika......
NI ujamaa wa kipekee kabisa......
Sera za huo ujamaa wa kiafrika hasa KUHUSU uchumi zimebadilishwa pale alipong'atuka na kupendekeza vpengele vya SOKO HURIA......
Kwa hyo tuko na MISINGI ya huo ujamaa wa kiafrika na uchumi wa soko huria........
Nje ya hapo sijui unapendekeza sera zipi tuige na kuzirasimisha katibani TUBADILISHE Yale maneno "nchi ya ujamaa na kujitegemea"....