Watanzania: Tusiogope mabadiliko, yanakuja

Pamoja na kukandamizwa wanakofanyiwa mara kwa mara, ni dhahiri kwamba upinzani unaonyesha udhaifu sehemu mbalimbali. Hasa hilo la kufanya kazi na wananchi limewashinda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…