Chakula kingi gani kilichobakia kwenye hiyo sahani ya picha?Ndungu zangu tujenge utamaduni wa kukomba chakula kwenye sufuria au sahani. Haiwezekan wakati binadamu kwenye mataifa mengine wanalia njaa, huku sisi tunatupa vyakula.
View attachment 3669644
ona chakula kingi kilivyobaki, hii si sawa nimemwambia binti achukue maji ya kunywa asuuze anikusanyie viukoko kwenye kikombe aniletee ninywe.
Miaka inayokuja mbeleni haisomeki kabisa, Mimi nimeanza sasa kujiandaa, Wewe je?
Upumbavu wa JF ambao bwana Melo ana hita ni up grade....uzi kama huu ndiyo una tokea mbele kabisa ....ndiyo maana mifumo ningi sasa hivi inazingatia tabia za mtu kwa kile kinacho jitokeza mbele kwa asilimia 60%Ndungu zangu tujenge utamaduni wa kukomba chakula kwenye sufuria au sahani. Haiwezekan wakati binadamu kwenye mataifa mengine wanalia njaa, huku sisi tunatupa vyakula.