Uchaguzi 2020 Watanzania tusiwe wepesi wa kusahau. Hakuna Mbunge wa CCM anaenda Bungeni kuwakilisha Wananchi

Na wale wa wapinzani inakuwaje? Akili za kushikiliwa na DJ mlevi wa konyagi.
 
Dah! ndugu yangu, nimeguswa sana na bandiko lako, kiukwel umeongea kwa upeo wa juu sana sema naskitisha hili bandiko kukaa jamii forum peke yake sababu jamii forum ni mtandeo unaotumiwa na watu wenye wered wa hali ya juu na ivyo huu ujumbe wako kuwafikia watu wa chache, kimsingi bandiko kama hili lilitakiwa litumwe na kwenye baadhi ya mitandao mingine ya kijamii ili hata wale watu ambao sio members wa jamii forum wapate kulisoma maana miaka hii mitano tumeshuhudia madudu matupu yaliyokuwa yanafanywa na hawa ma bwege ambao tunawaita wawakilishi wetu kimsingi hatutakiwi kurudia makosa sasa cha kusikitisha ni kwamba hawa wengine watapataje huu ujumbe ili nao waweze kufanya maamuzi sahihi kwenye box la kula?
 
Uko sahihi
 
70% ya raia wa hili koloni la ccm ni vichwa panzi ndio maccm yanawachezea akili kwa jinsi yanavyotaka.


Na Sasa nchi imeshatolewa kwenye uchumi wa kati wa chini, sijui tuwaambia nini watu
 
Upupu mtupu uliomwaga hapa, wewe utakuwa Kibajaji au yule lofa Mlinga....
 
angalau bunge lijalo liwe na sura mpya kuliko zile za zamani zilizoenda dhalilisha hadhi ya bunge kina nkamia,kessy,kange kwa uwezo wo mdogo wa kujenga hoja waliwekeza kwenye kumsifia mpitaji badala ya hoja za kitaifa,mollel,waitara,msukuma,kessy, hawa wasirudi watakwenda dhalilisha bunge na kuleta habari za kusifia mtu sababu ya tumbo
 
Ukiwa maskini afu huna ajira ni tatizo kubwa Sana Sasa Wewe unataka kutuambia kuwa wachadema ndo waliokuwa wakiwakilisha wananchi?πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘
 
Ukiwa maskini afu huna ajira ni tatizo kubwa Sana Sasa Wewe unataka kutuambia kuwa wachadema ndo waliokuwa wakiwakilisha wananchi?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji857][emoji857][emoji857]
Kwahyo uwezo wako wa kufikiri umeishia kwenye ajira?
 
Umenena vema kiongozi nikikumbuka kuzima bunge live,kupitisha sheria kandamizi za vyombo vya habar,kupenyeza kuongezwa kwa mda wa madaraka wa namba 1,kikotoo cha kudhurumu wanyonge huku wao wakikomba 100% na mengine mengi
 
Well said
 
Wabunge wa ccm ndio waliopitisha mikataba kibao ya kifisadi huku wakipiga meza na kushangilia wakati wenzao wa upinzani wakitoka nje kugomea,leo hii hao hao wanapiga meza wakishangilia Rais anavyoiponda mikataba mibovu ileile waliowahi kuipitisha kabla mwaka huu wabunge wote wa ccm mtakula mlikopeleka mbongo huu niujingi mnakuja tuomba kura ili mkawakilishe nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…