Elections 2010 Watanzania tutabadilika lini na kuachana na dhana hii,.,,.,..??

Elections 2010 Watanzania tutabadilika lini na kuachana na dhana hii,.,,.,..??

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
745
Nimemsikia m/kiti wa chama chetu mafisadi akiwa usia wajumbe wa nyumba kumi kupiga kampeni kwa nguvu zote ili CHAMA kishinde uchaguzi wa 31 Oct.
Hivi dhana hii ya chagua CHAMA badala ya mgombea itabadilika lini?
Chama kwa mtizamo wangu hakina mantiki yeyote iwapo mgombea anayekiwakilisha akiwa hafai.
Sasa tunapoambiwa chagu CHAMA hapa naona kuna mushkeli haswaaaa.

Wadau tuliangalie hili ili tuondokane na fikra potufu zinazoletwa na cmc chetu mafisadi,ili tupate viongozi bora na si bora kiongozi.:frusty:
 
Back
Top Bottom