sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Furaha ya Mama ni furaha na chanzo cha furaha ni baba. Ndoa ni fumbo la Imani, Mama akitoka ndani amefurahi wallah uwezi amini mabaraka yanamiminika nchi nzima.
Tunapofurahia mambo mazuri yanayofanywa na Rais Dr. Samia Suluhu Hassani lazima tutoe kongole kwa Baba wa Taifa, yaan Husband wa President wetu.
Tunapoona furaha ya Mama tujue ndoa iko poa na mama anapendeza, wajua Dr Samia kapendeza? Tazamana kapicha haka na uungane na mimi kugonga like na kumpa ua lake anuse akiwa hai.