Furaha ya Mama ni Furaha ya Dingi na chanzo Cha furaha ni Dingi.
Ndoa ni fumbo la Imani, Mama akitoka ndani amefurah walah uwezi amini mabaraka yanamiminika nchi nzima.
Tunapofurahia mambo mazuri yanayofanywa na Rais Dr Samia Suluhu Hassani lazima tutoe kongore Kwa Baba wa Taifa,yaan Husband wa presider wetu.
Tunapo ona furaha ya Mama tujue ndoa Iko poa na mama anapendeza,je wajua Dr Samia kapendeza?
Tizamana kapicha haka na uungane na mm kugonga like na kumpa ua lake anuse akiwa hai.
View attachment 2632006