Watanzania tuwe makini na haya mambo yasiwe kama ya MISS utalii

chaku msowoya

New Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Mambo vipi watanzania wenzangu nadunia kwaujumla mimi ninaswali kwa dunia nzima atakae guswa tushirikiane.Je nivizuri kusikia kwamba matamasha au mashindano makubwa kama ya umiss utalii kua anachoaidiwa mbele ya watu na mamia ya kamera baada ya pale ni hakuna kinachondele haoni chochote naakijaribu kufatili wausika wanakua wakali je nisawa ndugu zangu?
 
mhhh ngoja uncle Lundenga aje kujibu, binafsi naonaga washindi wa miss tZ wanapewa zawadi zao ukumbini na badae tunawaona mitaani wakitanua na magari yao,,Miss utalii ina maana hakuna zawadi kule? basi ile kupelekwa mamtoni inatosha tu
 
Chaku msowoya
Si vizuri wala sio sawa kabisa, but you have to understand after mashindano, hayo mamia ya kamera and/or people's focus usually move on to the next issue, event and so forth. So unless wewe ni mmoja ya walio karibu na mashindano au mshiriki, life moves on!!! My advise is jaribu kuwashtaki, na kama haitazaa matunda basi wapeleke magazetini hata haya ya udaku ili wamulikwe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…