Watanzania tuwe na amani na 1.5triion yetu

Watanzania tuwe na amani na 1.5triion yetu

Wanipe mimi hiyo kazi ya kuzitafuta huko hazina!maana mi namjua yule mtoto wa dada kule hazina huwa ni msahaulifu sana!anaweza kuwa alimpa mjomba kwa bahati mbaya halafu wote wakasahau! Mi Nikija naanza kwanza kuwapekua mifukoni!zinawezakuwa mifukoni mwao ila tu wamesahau kwa bahati mbaya!!!!
 
Back
Top Bottom