Wanipe mimi hiyo kazi ya kuzitafuta huko hazina!maana mi namjua yule mtoto wa dada kule hazina huwa ni msahaulifu sana!anaweza kuwa alimpa mjomba kwa bahati mbaya halafu wote wakasahau! Mi Nikija naanza kwanza kuwapekua mifukoni!zinawezakuwa mifukoni mwao ila tu wamesahau kwa bahati mbaya!!!!