Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
- Thread starter
-
- #21
Hapo ndo tnakamatika, binafsi siwezi kaa bila bandoAsubuuutuu...we unaweza kukaa bila bando? Kufilisika tutafilisika sisi... tungeweza kwa kweli tungegoma kutumia bando japo siku 2 tu ndo wangeelewa umuhimy wetu. Mxiuuuu
Uko sawaNaona anguko la mapato kwa upande wa makampuni ya simu
Huyu ni mmoja ya wapumbavu wanaofikiria kwa kutumia nguvu sio akili. Heri utumie theory of large number kwa kuwavuta watu wengi wanunue data kwa bei rahisi lakini wanapniunga wanakuwa wengi zaidi. Hizi PhD nyingine zimeshaexpire. By the way wamezoea kumshauri jiwe upuuzi nae alikuwa anakurupuka tu lakini huyu mama wajipange sana na wakiiendeleza ujinga wengi watapotea kwenye ulimwengu wa siasa.Dr. Mihogo na umri wa miaka 70+View attachment 1741179
Upumbavu tuDr. Mihogo na umri wa miaka 70+View attachment 1741179
No matter what, kuna kitu kinaitwa Ministerial responsibility ambapo kuna collective and personal responsibility. Lawama kwa Dr Faustine zinaelekezwa kwenye personal responsibility maana ukiacha baraza la mawaziri kufanya maamuzi hayo, yeye Waziri mwenye dhamana Ina maana ndio aliyei-table matter kwenye baraza na akaitetea na aliuziwa maswali mengi na akajibu ndipo baraza likafanya hii deliberation ambavyo leo imeleta balaa so to me Faustine has a blame to carry. Unless hakuwepo aliikuta tayari baraza limepitisha pale aliporudishwa.Nilikuwepo huko kwenye social media tofauti naona wengi wanamtupia lawama waziri uhusika, je lawama tunazompelekea ni sahihi kwake na huu uamuzi wa kupandisha bando hamna baraka za wakubwa huko juu?
Waziri anafanywa SCAPEGOAT tu.
Mambo ya kupita tu haya, sisi wanyonge tunaelewa maana ya kunyongwa na pia tunakubali kunyongwa, yaani kiroho safi safi tuTulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh. 2000, MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 3 ni kwamba GB1 itauzwa Tsh. 3000 na kuendelea kulingana na hesabu hiyo.
Watanzania ni wavumilivu sana, tumevumilia kupanda kwa bei za sukari, mafuta pamoja na bidhaa zingine, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Watumishi wa umma tumevumilia kutopanda madaraja, kutopata increment, kutopanda vyeo na kutobadilishiwa miundo ya utumishi, kutopata uhamisho hata wa kubadilishana, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Wahitimu wa vyuo tumevumilia kukaa mtaani kwa miaka mingi bila ajira, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Wakulima tumevumilia kukosa bei nzuri za mazao yetu, tumedhulumiwa, korosho ni kilio, siyo pamba, mbaazi wala kahawa yenye unafuu, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Tumevumilia kikokotoo, kupanda riba ya HESLB (8%_15%), wastaafu kukaa miaka bila kupata mafao, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Wafanyabiashara tumevumilia kodi kubwa za bidhaa tunazolangua, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Hii ndo Tanzania ya wanyonge, 'wanyonge' laweza kuwa na maana mbili:
1. Kitenzi
2. Nomino
Soma vizuri although sijaelewa uwezo wa uelewa wako. Sijaongelea mambo ya ushahidi na sijaongea kwamba hana kosa au ana kosa soma sentence yangu ya mwisho labda unaweza kuelewa. In short, suala la wizara kuamua kupandisha gharama zilizowekwa kisheria huwa sio jambo la waziri pekee, huwa anampatia katibu mkuu kiongozi ambaye anaingia kama katibu wa baraza la mawaziri na kuelezea Nia ya kutaka kufanya hivyo na sababu. Baraza linapokaa hujadili hoja mbalimbali za kila wizara ikiwemo utekelezaji wa maagizo ya Rais na utekelezaji wa miradi mbalimbali. So kwangu Mimi ninachoelewa ni kwamba hili ni suala ambalo waziri aliielezea baraza zima na akawashawishi wakaelewa ndipo walipofanya deliberation ya kukubali kupandisha hizi gharama za data nk. So inategemea kama alikuwa ni yeye au mtangulizi wake. Hoping umeelewa.Weka ushahidi hayo maamuzi ya baraza la mawaziri lililopitisha.
Unataka kusema aliyepo sasa akuwepo mwanzo na kama akupendezewa awezi kukataza kwa nguvu aliyokuwa na nayo sasa?
Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh. 2000, MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 3 ni kwamba GB1 itauzwa Tsh. 3000 na kuendelea kulingana na hesabu hiyo.
Watanzania ni wavumilivu sana, tumevumilia kupanda kwa bei za sukari, mafuta pamoja na bidhaa zingine, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Watumishi wa umma tumevumilia kutopanda madaraja, kutopata increment, kutopanda vyeo na kutobadilishiwa miundo ya utumishi, kutopata uhamisho hata wa kubadilishana, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Wahitimu wa vyuo tumevumilia kukaa mtaani kwa miaka mingi bila ajira, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Wakulima tumevumilia kukosa bei nzuri za mazao yetu, tumedhulumiwa, korosho ni kilio, siyo pamba, mbaazi wala kahawa yenye unafuu, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Tumevumilia kikokotoo, kupanda riba ya HESLB (8%_15%), wastaafu kukaa miaka bila kupata mafao, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Wafanyabiashara tumevumilia kodi kubwa za bidhaa tunazolangua, iweje tushindwe hili la vifurushi?
Hii ndo Tanzania ya wanyonge, 'wanyonge' laweza kuwa na maana mbili:
1. Kitenzi
2. Nomino
Na siyo kwa makampuni ya simu tu... Kwa watanzania wengi tunaotumia Internet kama kiungo kikuu cha kazi zetu za kujitafutia mkateUko sawa