Watanzania waanza safari ya 'handshake' kama ya Kenya, ila wao wanaifanya kiaina fulani hivi

Watanzania waanza safari ya 'handshake' kama ya Kenya, ila wao wanaifanya kiaina fulani hivi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Rais Magufuli amekutana na kiongozi mwandamizi wa upinzani Zanzibar, Maalim Seif.
Sema wao "handshake" yao wameicheza kwa miguu, labda kwa ajli ya hofu ya Corona. Hongereni majirani, tulianzisha na tumeona matunda ya maridhiano, Afrika yote sasa hivi ni mwendo wa handshake.
Hamna haja ya watu kuishi kwa chuki ilhali wote raia wa taifa moja, kisa milengo ya kisiasa.

 
Back
Top Bottom