Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hello Waungwana wanaoishi nchini China, Nana mpango wa kuagiza gari Aina ya HOWO tractor Truck used pamoja na flatbed trailer , issue inakuja swala la uaminifu kwenye company ambazo ziko China , nisije kutuma hela ziingie mikono mwa matapeli ya ki Nigeria, kwa raia wa nyumbani aliyeko pale China anaweza kunifanyia utafiti kama hiyo company nayotaka kununua hiyo Howo tractor kama ipo kweli .
Nina website Yao , number ya simu , pamoja na mji ambao karakana Yao ipo , HOWO nayotaka kununua ni Refurbished, Asanteni sana wanandugu waishio nchini China , kwa ushirikiano mtakaonipa nisije kutapeliwa na hao manigeria,