Watanzania waishio Marekani kwanini wasirudishwe nyumbani wakiwa na pingu mikononi kama wenzao wa Brazil na Mexico

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.

Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.

Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.

Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
 
Uchawi ni kutamani mwenzako apatwe na mabaya hata Kama hajakukosea kwa lolote na hakuna faida yoyote utakayopata kwenye hayo mabaya yake

Na hii ndo roho mbaya ambayo inafanya wananchi wengi kuwa maskini
 
Eeh!!
 
Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.

NAUNGA MKONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.

NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
 
Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.

NAUNGA MMONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.

NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Kwa hiyo wakirudi nyumbani ndio watakua na faida sio?!
 
Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.

NAUNGA MMONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.

NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Lione hili, kwanini usingetoka wewe ukawapa connection na kuwashika mkono ndugu zako? Hovyo kabisa!
 
Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.

Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.

Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.

Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
We ni mchawi uliyekosa matunguli..!!
 
Back
Top Bottom