Wewe umekosa ardhi ya kulima? Hamtaki kwenda kulima Ifakara na Ruvuma mnataka kukaa Dar es salaam tuMkuu ukipata fursa wasaidie tu watu ndio maisha hakuna kingine ila usiwadharau watu ambao leo hawana mazee..
Hao wa club house ni wakazi halali wa marekani sio wazamiaji!!Wapo huko clabu hausi wanahamasisha migomo na maandamano usiku kucha sijui hata kazi wanafanya saa ngapi?
Mkuu kwani connection ni haki yako kupewa kwa lazima??.Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.
NAUNGA MKONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.
NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.
NAUNGA MKONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.
NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Mtu akishakuwa na mentality ya kulaumu wengine hata ukimpa connection atakulaumu tu, hatakosa cha kukulaumu. Kuna watu unaweza kuwapa connection za kuja Marekani halafu wakakulaumu hujawapa connection za kupata scholarship.Mkuu kwani connection ni haki yako kupewa kwa lazima??.
una juaje hawana faida, ikiwa hauna undugu nao, sio mfanyakazi wao, au hata muhasibu wa mapato Yao!
halafu una taka upewe connection, una kipi Cha upekee mpaka upewe hiyo connection??.
Nyuzi na comments nyingi zimo humu za kina Bufa, min -me, Kiranga, Black Sniper waki shauri na kuelekeza hatua baadhi ya nini kifanyike.
halafu mbona Kama unafiki, uchawi, roho mbaya ime kutawala, Sasa si uta haribu mipango ya hata huyo aliye kuita.
AiseeMkuu kwani connection ni haki yako kupewa kwa lazima??.
una juaje hawana faida, ikiwa hauna undugu nao, sio mfanyakazi wao, au hata muhasibu wa mapato Yao!
halafu una taka upewe connection, una kipi Cha upekee mpaka upewe hiyo connection??.
Nyuzi na comments nyingi zimo humu za kina Bufa, min -me, Kiranga, Black Sniper waki shauri na kuelekeza hatua baadhi ya nini kifanyike.
halafu mbona Kama unafiki, uchawi, roho mbaya ime kutawala, Sasa si uta haribu mipango ya hata huyo aliye kuita.
huu ni ujinga wa ziada tu, na shida ni kukariri kile anacho kusikia kutoka kwa wajinga wenzie.Mtu akishakuwa na mentality ya kulaumu wengine hata ukimpa connection atakulaumu tu, hatakosa cha kukulaumu. Kuna watu unaweza kuwapa connection za kuja Marekani halafu wakakulaumu hujawapa connection za kupata scholarship.
Wakati hii internet watu wanayotumia kubishana utumbo tu nayo ukijua kuitumia ni connection tosha.
Nitakupa mfano.
Kuna dogo mbongo kaja huku Marekani mwaka juzi, alipewa some kind of fellowship anazunguka kwenye vyuo. Nikamuita kwangu weekend moja nzima tukae tuzungumze, nimpeleke aone mji twende kwenye ma restaurant ya kishua apate good time ya Unyamwezini ya kuhadithia.
Nilikaa nikamuuliza yule dogo, huu mchongo wa kuja US, tena kwa hii fellowship ya maana unakaa na watu wasomi vyuoni, umeupata wapi mchongo huu? Kuna mkubwa unajuana naye? Ni connection ya familia? umeji distinguish saaana kisomi? Unawajua wanasiasa wakubwa?
Akasema hakuna lolote, ni mchongo aliuona Twitter tu akaufuatilia akapata. Na wala hajasoma sana kihiivyo, ni mtu wa kufuatilia vitu tu.
Sasa hapo unaweza kuona huyo jamaa hakumlaumu mtu wala kutaka kumpa kazi yake yeye mwenyewe mtu mwingine. Alifuatilia mambo tu.
Sasa watu wanaofuatilia mambo na kuonesha nimefuatilia mpaka hapa nimeshindwa wako wapi?
Watu wanatakiwa waelewe kuwa hata sisi wengine tulishapitia huko walipo tukategemea watu wengine, tukaangushwa. Tukaamua kufanya mambo yetu wenyewe. Sina maana kwamba hatukusaidiwa. I don't believe in the "self made man". I think that is some American self help and marketing bullshit. But still, mtu unatakiwa kufanya kazi mpaka unafikia sehemu ukisema "Nimefanya hiki na hiki, nimefikia hapa nimeshindwa, naomba msaada mnivushe hapa", watu wakikusikia wanaona huyu mtu yuko serious, ana muelekeo, anasaidika.
Siyo mtu hata hujaanza alif ya ujiti unataka kulaumu watu?
Mtu anayetaka umuanzishie kila kitu umshike mkono kila kitu umfundishe mpaka kujaza forms na English umfundishe, huyo ana haki ya kulalamikia connection kweli?
Kama connections mbona hata sisi tunazitafuta bado, sasa unataka mimi niache struggle yangu ya kutafuta connections zangu nikamtafutie mtu mwingine, ambaye kiukweli hata simjui?
Yani Ujamaa ndiyo umetuharibu hivi au huu mwingine ni ujinga wa ziada tu?
Haya ndo matokeo ya kukosa viongozi wengi wenye maono, tuka ishia kuwa na wapambe.Aisee
Basi kila muamala ntakuwa naweka hapa waone michango
Sasa sijui lakini kwa faida ya nani 😄 🤣
Nchi masikini ni shida hata hao viongozi eti wanashangaa kwanini umasikiniHaya ndo matokeo ya kukosa viongozi wengi wenye maono, tuka ishia kuwa na wapambe.
shida hata vidonge wa jeshi nao ni mseto tu, hawa oni haja ya kuumba team ya ku balance mambo??Nchi masikini ni shida hata hao viongozi eti wanashangaa kwanini umasikini
Hapo hajioni kuwa nae ni masikini wa akili
Kikwete alivyokuwa rais alikaa katika mkutano mmoja na jamaa mmoja anaitwa Bob Geldof.Nchi masikini ni shida hata hao viongozi eti wanashangaa kwanini umasikini
Hapo hajioni kuwa nae ni masikini wa akili
kuna mahojiano ya mama tibaijuka, ana zungumzia kwanini ali kiri na kusema sababu za kwanini wali feli kutatua chanzo Cha migogoro ya ardhi.Kikwete alivyokuwa rais alikaa katika mkutano mmoja na jamaa mmoja anaitwa Bob Geldof. Bob Geldof ni mqanamuziki wa ki Irish aliyekuwa anafanya sana kazi za kutoa misaada Africa. Alihusika sana kufanikisha misaada kwa njaa kubwa ya Ethiopia ya mwaka 1984 kwa kutumia muziki akiwashirikisha ma star wakubwa wengi katika wimbo wa "We Are The World".
Kwa kifupi Bob Geldof ni kegend katika nyanya hizi za misaada Africa.
Ni kwa sababu hii ndiyo akaweza kukaa meza moja na Kikwete.
Sasa wenzetu wakiwa na naswali hawana breki, hawajali itifaki au juwa na uchawa.
Bob Geldof alimuuliza Kikwete bluntly, something like, "Why is Tanzania poor?".
Kikwete bula aibu akajibu kuwa hajui kwa nini Tanzania ni masikini.
Sasa inakuwaje mtu anakuwa rais kutatua matatizo ya umasikini ya watu wake, wakati hajui matatizo hayo yamesababishwa na nini?
Hiyo ni issue ya Kitaifa, mimi ninachowakosea wenzetu wengi waliopo nje ni pale wanapokosa uzalendo kwa familia zao za karibu walizotoka. Wewe umefanikiwa kutoka na alhamdulilaah Mungu kakuinua upo vema, inakuaje ushindwe kumvuta mdogo wako au mtoto wa ndugu yako, au unashindwaje kuwajengea nyumba nzuri wazazi wako lakini wewe unaonekana Facebook ukipost kula bata ughaibuni. Mbona mkenya anapotoka kwenda nje unakuta naye anawapa connection ndugu zake wengi tu.Wapeni uraia pacha diaspora ya kiTanzania, hapo mtaona mchango wao ukizidi maradufu ya sasa.
Hii ya kuwabagua diaspora ya kiTanzania kama inavyofanyika kule Mashariki ya Congo Kivu Kaskazini, Kivu Kusini, Bukavu, Kisangani siyo sawa ni siasa uchwara
Hata mimi nisingekeza bongo wala kutoa mchongo kama watu wenyewe ni kama wewe. Wakenya hawana mtima nyongo wala utegemezi kama wako. Ajabu, pamoja na kuwachukia, bado serikali yenu inahangaika usiku kucha walete pesa nyumbani wavivu wawe serikalini au wa mtaani wale dezo. Tatizo la nchi yetu ni kuwa na roho mbaya kuanzia juu hadi chini. Nimewahi kusoma humu wengi wakilalamikia kulizwa na ndugu zao. Ndugu mwenyewe kama ni mleta uzi anayejiita muite jina la kikikuyu untegemeani?Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.
NAUNGA MKONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.
NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
AiseeKikwete alivyokuwa rais alikaa katika mkutano mmoja na jamaa mmoja anaitwa Bob Geldof.
Bob Geldof ni mwanamuziki wa ki Irish aliyekuwa anafanya sana kazi za kutoa misaada Africa. Alihusika sana kufanikisha misaada kwa njaa kubwa ya Ethiopia ya mwaka 1984 kwa kutumia muziki akiwashirikisha ma star wakubwa wengi katika wimbo wa "We Are The World".
Kwa kifupi Bob Geldof ni legend katika nyanya hizi za misaada Africa.
Ni kwa sababu hii ndiyo akaweza kukaa meza moja na Kikwete.
Sasa wenzetu wakiwa na maswali hawana breki, hawajali itifaki au kuwa na uchawa.
Bob Geldof alimuuliza Kikwete bluntly, something like, "Why is Tanzania poor?".
Kikwete bila aibu akajibu kuwa hajui kwa nini Tanzania ni masikini.
Sasa inakuwaje mtu anakuwa rais kutatua matatizo ya umasikini ya watu wake, wakati hajui matatizo hayo yamesababishwa na nini?
Yeah. Nafikiri katika majibu ya kuaibisha kutoka kwa Kikwete, lile lipo katika top ten.Aisee
Namkumbuka Bob alitengeneza hela sana kwa harakati za kusaidia
Kumbe ndie aliemuuliza JK?
Nilisikia kuwa aliitoa hiyo kauli ila sikujua kama Bob ndio alimuuliza
Kweli hatuna watu wenye uwezo hata wa kufikiri let alone kutuongoza
Umasikini wa akili mbaya sana broYeah. Nafikiri katika majibu ya kuaibisha kutoka kwa Kikwete, lile lipo katika top ten.
Ila Tanzania watu hawafuatilii mambo tu.