Watanzania waishishio Ughaibuni wanaojifanya kwao mambo safi

Watanzania waishishio Ughaibuni wanaojifanya kwao mambo safi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Watanzania waishio Ughaibuni wanaojifanya kwao mambo super. Tohombe alizaliwa Kiwalani CCM na kwasasa anaishi Washington DC.

Hana msaada kwa mama yake na nyumba yao alikozaliwa mwenyewe anashindwa kwenda kwakuwa ni chakavu hata choo hawezi kukitumia ilhali anahitaji the boss lady wa wa Tanzania wote waishio Marekani.
 

Attachments

  • 7F29CA2F-2990-4F5F-896C-6A51B0E251E7.MP4
    20 MB
Wapo wengi sana na huyo hana mafanikio yoyote anapata pesa lakini hajui inaisha vipi, mimi nikajua alivyo rudi Tanzania atafikia hotel kubwa kumbe kwa dada ake[emoji3]
 
Watanzania waishio Ughaibuni wanaojifanya kwao mambo super.
Bibi mambo gani sasa hayo ya kumtesa mjukuu wako wakati unafahamu fika wazalendo sasa hivi tunatumia frii beziki?
Haya nipe introdaksheni ya hio video kabla sijakusemea kwa babu.
 
Na wale wanaotoka kijijin kwenda maeneo ya mjini hapa hapa bonge CHANGE! Ukifahamu mitaa kadhaa ya mjini hata yule Boyfriend wako uliyemwacha kijijini unamwambia "wewe siyo taypu yangu"
 
Back
Top Bottom