What ??πππWapo wengi sana na huyo hana mafanikio yoyote anapata pesa lakini hajui inaisha vipi, mimi nikajua alivyo rudi Tanzania atafikia hotel kubwa kumbe kwa dada ake[emoji3]
Bibi mambo gani sasa hayo ya kumtesa mjukuu wako wakati unafahamu fika wazalendo sasa hivi tunatumia frii beziki?Watanzania waishio Ughaibuni wanaojifanya kwao mambo super.
ni nani kwani?Wapo wengi sana na huyo hana mafanikio yoyote anapata pesa lakini hajui inaisha vipi, mimi nikajua alivyo rudi Tanzania atafikia hotel kubwa kumbe kwa dada ake[emoji3]
Fungua video uoneni nani kwani?