Nguruka
Senior Member
- Dec 6, 2006
- 189
- 129
Agosti 15, 2022 matokeo ya Uchaguzi yametangazwa, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ilimtangaza Willium Ruto kua Rais mteule.
Kenya Tume yao wanajiita HURU lakini bado wagombea kama Odinga wanasusia matokeo. Makamishna 4 Kati ya 7 wa IEBC nao wanasusia matokeo. Je, picha Gani wanatupa hapa kuhusu UHURU wa Tume?
Je, Tume ni HURU lakini imekula kitu kidogo ikabadili matokeo au nini zaidi.
Tanzania hasa vyama vya Siasa vina jambo lolote la kujifunza kuhusu hizi Tume 'HURU' za Uchaguzi?