Sio Tanzania tu, Afrika yote mna la kujifunza kutoka kwa huu uchaguzi, tumeweka kiwango kipya Afrika ambacho hakikuzoelekea, ni uchaguzi ambao umejadiliwa Afrika yote. Aliyetunukiwa ushindi William Ruto sikumpigia kura lakini binafsi nimeridhishwa na shughuli yote ilivyoendeshwa, vyombo vyote vya habari vina taarifa za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, yeyote ameruhusiwa akokotoe kama kuna kasoro yoyote iwekwe wazi na taratibu zifuatwe.
MaCCM mtajaribu kila mbinu za kupaka tope ili muendelee na udhalimu wenu huko kwenu, lakini Afrika tubadilike jameni.