Watanzania Wakenya Wasiwasumbue

Mushi umelitendea haki ili andiko! hakika yake hata ukipata uteuzi na akatenguliwa kabudi sitalalamika. "simaanishi unatafuta uteuzi" tunaweza kuwa na tofauti zetu za kimtazamo baina yetu lkn linapokuja suala la uchumi na nchi yetu tusicheke na kima.
 
Acha kubwabwaja ww! Si ungetuuliza tuliopo hospitaini tukitibu wagonjwa!? Hata sisi hatujui huu ugonjwa ulikotokomea...maana hakuna kabisa Cha korona wa mjukuu wake corona! Kula anayekuja na vijidalili tulivyotishwa navyo hapo awali akipimwa anakutwa na magojwa ya Kila siku na wanatibiwa specifically na kupona within no time! Nimemsikia Magu amiwa kibiti nafikiri akisema ni maombi tu na Mungu ameitoa corona! Mie nimeanza kuyaamini hayo! Kenya wameikuza na kuikumbatia corona na kuiona na nguvu kuliko Mungu...na Mungu kawaacha iwashughulikie! Hao wake ya naanza kuamini hata wakikatiza na corona, wakiingia Tz tu watapona papi hapo! Niiteni vyovyote vile Ila pamoja na taaluma yangu ya udaktari sioni sababu nyingine inayowafanya Kenya et Al wapate full force ya corona wakati huo huku kwetu ni full kukuachia na tunadunda salama!
Wqkenya kuwekwa vikwazo hii haikuwa sawa na Kama nchi ni lazima tuwape SoMo! Mwana kuli'find'mwana kuli'get'!
 
Cool
 

you can’t do that by allowing China and Japan, those countries have been affected badly too.
 
Wewe mwenyewe mgonjwa wa hiyo corona? au hapo kwa shemeji yako kuna mgonjwa aliyepatikana au ngazi ya familia na ukoo wenu mna wagonjwa na wameshakufa wangapi? na unavyoshauri tupime uliambiwa hapa kwetu hatupimwi?,je ilijaribu kubebwa na shemeji yako kwenda kupimwa corona ukaambiwa vipimo hakuna,na baada ya kupimwa kuna dawa iliyopatikana.
 
Kwakweli wakenya watulie tu tumewashika pabaya, huu mradi wa Umeme ukikamilika ningeomba kabla serikali haijaanza kuusambaza umeme kwenda kuuza nje iwasaidie watanzania(vijijini) wapate umeme kwanza , kila kijiji kikipata umeme naamini Tanzania yaweza kuwa ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwaunganishia wananchi wote umeme
 
Mkuu sijaamini kama huyu ni wewe!
 
Naomba kujua kama KQ imeshaanza kutua bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…