Watanzania walioishabikia kipigo cha goli 4-0 kutoka kwa Kaizer Chief wamekosa uzalendo

mtoamada unateseka? umesusa au?

 
Yanga bwana utafikiri mwanamume anaefurahia mwanamume mwenzie kuachwa na mkewe wakati yeye Hana ubavu hata ya kumsogelea huyo mwanamke.
 
Huyu shabiki anasemaje?
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

 
Leo ndio yamejua kuwa hayajui, bado utopolo mwakani.
 
Kapigwa kanzu saafi
Your browser is not able to display this video.
 

Kwaninj mfungwe goli 4 . Ni upumbavu na lack of maturity. Mmetoka. Angalia game ya Alhly na Mamelodi. Hizo ndio timu za viwango.
Nyie kuleni Biriani
 
Kuna taarifa zinaenderea kusambaa mitandaoni kua simba ipo south.....sisi kama simba hatujaenda south tupo bunju tinawasibiri kaizer hivyo taarifa za 4G zipuuzwe😎😎😎
 
Shida ya mpira wa bongo umekabidhiwa wajinga na wapuuzi kuuzungumzia kuanzia huyo msemaji wa Simba kuja huku kwa akina wachambuzi wamejaa vilaza watupu. Hawa akina Eddo, Shafii na wajinga wengine ndio tumewapa mamlaka ya kufanya uchambuzi wa mpira. Akina Sekilojo akina Golden boy wamekaa pembeni.
 
Ndio mpira mkuu
Ila nawaza manara ataweka sura yake wapi kwa wale so called taka taka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani Manara na Mud hawakutosha kuishangilia timu yao?
 

Uzalendo peleka kwa mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…