officialBossmtoto
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 370
- 1,189
Bado kidonda cha Kalyinda hakijapona kwa Watanzania wengi, Tayari kuna tetesi na dalili zote za kipigo kizito kwa Watanzania wengine waliojiunga kwenye mchongo Pacha wa Kalyinda uitwao Bestei.
Best Bei hii ilianza kutangazwa mara tuu Kalyinda ilipofungwa na walitoa mda kwa watu kukusanya hela na kusema mchongo huu ungeanza tarehe 20/10/2022 na kuwashawishi sana watu watunze na kuandaa hela zao ili tarehe 20/10 waweke hela nyingi wavune nyingi na waondoke.
Cha kushangaza system imefungliwa leo, watu wameweka hela na tayari system imeshakua Hacked [emoji23][emoji23]
Watanzania wenye Tamaa ya utajiri wanazidi kua fursa kwa wanaoutafuta utajiri kwa mipango.