Watanzania waliokuwa India wamewasili salama na kuchukuliwa vipimo vya Corona uwanja wa ndege majibu watapewa kesho

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama.

Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata kesho.

Awali watanzania hao walichukuliwa vipimo nchini India kabla ya kupanda ndege na kuonekana wapo salama.

Maendeleo hayana vyama!
 
Watanzania tuliteseka sana kabla ya Rais Magufuli kununua ndege
 
Kumbe maabara kuu imefunguliwa basi habari njema natumaini hata vipimo ni original.
 
Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama.

Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata kesho.

Awali watanzania hao walichukuliwa vipimo nchini India kabla ya kupanda ndege na kuonekana wapo salama.

Maendeleo hayana vyama!
Vipimo vinapelekwa wapi? Maana serikali ya ccm haiviamini vifaa vya kupimia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama.

Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata kesho.

Awali watanzania hao walichukuliwa vipimo nchini India kabla ya kupanda ndege na kuonekana wapo salama.

Maendeleo hayana vyama!
serikali ya ccm au serikali ya Tanzania ?yan watanzania baadhi wanna utindio wa ubongo badilisha na jila la nchi Basi liitwe ccm republic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipimo wamepeleka kupimia Kenya au?maana ule uchunguzi wa ufanis wa vipimo vyetu bado kukamilika
 
Back
Top Bottom