johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vipimo vinapelekwa wapi? Maana serikali ya ccm haiviamini vifaa vya kupimia!Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama.
Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata kesho.
Awali watanzania hao walichukuliwa vipimo nchini India kabla ya kupanda ndege na kuonekana wapo salama.
Maendeleo hayana vyama!
serikali ya ccm au serikali ya Tanzania ?yan watanzania baadhi wanna utindio wa ubongo badilisha na jila la nchi Basi liitwe ccm republic.Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama.