Ngai Moko JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 1,301 Reaction score 1,738 Aug 22, 2021 #21 utah jazz said: Hayo makundi yanafuata interest zao Ila mtanzania km hakuajiriwa na NGOs za umoja wa mataifa kuna utata Click to expand... Kwa hiyo mbongo akienda kwa ugaidi sio interest yake!! Au interest ni nini?
utah jazz said: Hayo makundi yanafuata interest zao Ila mtanzania km hakuajiriwa na NGOs za umoja wa mataifa kuna utata Click to expand... Kwa hiyo mbongo akienda kwa ugaidi sio interest yake!! Au interest ni nini?
wababayangu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 814 Reaction score 1,107 Aug 22, 2021 #22 Ngai Moko said: Sawa, je tukiona Mzungu, Mchina na Muhindi wameenda huko? Click to expand... Hao wameenda kwa kazi maalum ya ushushu au ujasusi
Ngai Moko said: Sawa, je tukiona Mzungu, Mchina na Muhindi wameenda huko? Click to expand... Hao wameenda kwa kazi maalum ya ushushu au ujasusi
wababayangu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 814 Reaction score 1,107 Aug 22, 2021 #23 Nyambi Sr said: Akili za Vijana wa kijani hizi, watu walikuwa wanazamia mpk kwa mungiki unadhani maisha Ni bongo tu Click to expand... Mwambie gaidi mwenzao aende kuwaokoa. Sawa mkunduyangu
Nyambi Sr said: Akili za Vijana wa kijani hizi, watu walikuwa wanazamia mpk kwa mungiki unadhani maisha Ni bongo tu Click to expand... Mwambie gaidi mwenzao aende kuwaokoa. Sawa mkunduyangu
Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,428 Reaction score 6,929 Aug 22, 2021 #24 Unafki unaendelea dhidi ya Taliban,, mleta uzi mwambie Biden arudishe majeshi humu jf kupiga soga haisaidii
Unafki unaendelea dhidi ya Taliban,, mleta uzi mwambie Biden arudishe majeshi humu jf kupiga soga haisaidii
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Aug 22, 2021 #25 adden said: Nitahamia talebani mimi nikaishi huko Click to expand... Angalia ukizini tu wanakuchinja asubuhi kwenye kadamnasi/hadharani kama kuku
adden said: Nitahamia talebani mimi nikaishi huko Click to expand... Angalia ukizini tu wanakuchinja asubuhi kwenye kadamnasi/hadharani kama kuku